JamiiForums Usiku wa manane

Kichwa kichafu
Jje's
Thad
Manga
Mwalimu wake Thad upo wapi wewe?

Mmepotelea wapi jamani, nawamis mjue
Asante miss you too my dear[emoji7]

Napita [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]mpaka club 7
Demiss wewe.....ndo nini kuniacha kwenye mataa mchana?
 
Habari popozz na bundiz!
Jamani naombeni ushauri...humu ndani kuna mtu nampenda sana ila naogopa kumwambia. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nifanyeje?
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
kama yupo hapa we mwambie tu kwenye huu uzi hakuna wambea tutaficha siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…