JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

Poleni sana.

Hakuna aliyewalazimisha. Hao unaoona wako Verified hawakombwa bali waliomba wenyewe.

Sisi tunaitikia hitaji lao kwa kuweka utaratibu rafiki. Tunatambua wapo wengi wasiotaka kuwa verified, nao ni haki yao!

Msitie shaka, unavyoamua kuwa JF ndivyo utavyohudumiwa
Mkuu na sisi Wahaya kwa nini tusiwe na exception identity? By the way karibu hapa Kitunda nina dumu la rubisi, njoo tupige moja mbili
 
Mkuu narudia kwa mara ya pili,nilituma hili ombi huko kikashani naomba nifutiwe nyuzi zangu zote nilizopata kuziandika humu Jf.Nyuzi hizo hazina tija,zifutwe!
 
endapo tutajiridhisha kuwa ID ni mtu tunayefahamiana naye na maudhui ya akaunti yake hayashushi hadhi ya badge husika;
Mkuu, Je ni lazima awe ni mtu mnaefahamiana nae ? Vipi kama mtu hamfahamiani nae, account yake ina maudhui chanya na hashushi hadhi ya Badge, Je mtamverify ? Akiomba request
 
Mkuu narudia kwa mara ya pili,nilituma hili ombi huko kikashani naomba nifutiwe nyuzi zangu zote nilizopata kuziandika humu Jf.Nyuzi hizo hazina tija,zifutwe!
Hahaha, nimecheka sana Mkuu, yaani nyuzi zako mwenyewe unaziita hazina tija aisee!, Mkuu
 
Back
Top Bottom