dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,917
- 57,615
nenda https://www.jamiiforums.com/account/usernamekubadilisha jina inakuwaje?
nenda https://www.jamiiforums.com/account/usernamekubadilisha jina inakuwaje?
Nimeingia kwenye hiyo website ila ninaona mapichapicha tu, kama ni moderator wahusika nitawapataje?
mapichapicha vipi ?, kuna fields mbili inabidi ujaze "username:" field na "Change reason:" fieldNimeingia kwenye hiyo website ila ninaona mapichapicha tu, kama ni moderator wahusika nitawapataje?
Mkuu na sisi Wahaya kwa nini tusiwe na exception identity? By the way karibu hapa Kitunda nina dumu la rubisi, njoo tupige moja mbiliPoleni sana.
Hakuna aliyewalazimisha. Hao unaoona wako Verified hawakombwa bali waliomba wenyewe.
Sisi tunaitikia hitaji lao kwa kuweka utaratibu rafiki. Tunatambua wapo wengi wasiotaka kuwa verified, nao ni haki yao!
Msitie shaka, unavyoamua kuwa JF ndivyo utavyohudumiwa
Verified member dahWell done JamiiForums team
Mkuu lini sherehe ya wewe kuwa verifiedWell done JamiiForums team
Thanks bro Bujibuji ....tuko pamoja kaka.Madame B, Joseverest ni mfano tu
Teuzi nini..??Kuna faida nyingi sana ukiwa verified kuliko kujificha.
Maxence hujibu thread zangu kwanini mnataka credentials za watu ilhali jukwaa hili ni confidentiality ndio inaliweka mjini? kwanini hizo verification zisi base kwenye contributions , seniority as well as participationNaam, badili jina mwenyewe kupitia hii link: https://www.jamiiforums.com/account/account-details
Mkuu, Je ni lazima awe ni mtu mnaefahamiana nae ? Vipi kama mtu hamfahamiani nae, account yake ina maudhui chanya na hashushi hadhi ya Badge, Je mtamverify ? Akiomba requestendapo tutajiridhisha kuwa ID ni mtu tunayefahamiana naye na maudhui ya akaunti yake hayashushi hadhi ya badge husika;
Hahaha, nimecheka sana Mkuu, yaani nyuzi zako mwenyewe unaziita hazina tija aisee!, MkuuMkuu narudia kwa mara ya pili,nilituma hili ombi huko kikashani naomba nifutiwe nyuzi zangu zote nilizopata kuziandika humu Jf.Nyuzi hizo hazina tija,zifutwe!