JamiiForums New version (5.0.25) App For iPhone and iPad users

JamiiForums New version (5.0.25) App For iPhone and iPad users

Invisible tupe update ya hili tatiZo la notification kwenye application ya Jamii forum ya iphone
 
Wakuu update ya jf app for ios imetoka
Still I dont get notfication
 
Bado hamna notification ingawa wameandika wamesolve hilo tatizo
 
App imepotea store, niliifuta nikataka kuishusha tena nikaambiwa haipo. Invisible tatizo lipo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi natumia iPhone 6s nime install jamiiforums app lakini inagoma ku login. Masada wenu tafadhari.
 
Mbona mi natumia iphone 5 imekubali kirahisi sana , kuwa makini inaweza kuwa iphone 6 lakini la kichina hilo umeliwa
 
hivi Invisible lile swali la kuhusu lini hasa hii app itapatikana windows market halikuonekana mkuu....labda hili utaliona utupe majibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom