tonge nyama
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 380
- 502
Wakuu, natumia iphone 5 na nimeinstall jamii forum app, mara ya kwanza it was working fine, baada ya muda ikagoma kuleta update, zaidi ya mwezi hailetiupdate zozote, sio notification wala new post, tatizo linaweza kiwa ni nini?
Nakwangu pia haileti post mpya ila notification inatoa natumia ipad 4th generation. Msaada tafadhali