JamiiForums New version (5.0.25) App For iPhone and iPad users

Hii version mpya nzuri ila inachanganya kidogo na pia ina kula Mbs kama nini!!
Naitumia sasa hivi, nina maoni tofauti:

KULA BUNDLE:
Hiyo labda kwako kama una 8MB ya siku, basically inayofaa hapo itakuwa ni Web browser tu, tena nashauri utumie tiGO kwani browsing JF via browser ni bure kama ilivyo kwa WhatsApp.

Cost inaweza kuwa downloading ya app yenyewe lakini after you download it, hii update ya leo ni rahisi zaidi na lightweight compared to the old version.

PERFORMANCE
Update hii imeongeza urahisi kwangu. Rahisi to navigate na notifications zinakuja kirahisi. Kwa tunaotumia iPhone 6s Plus au any Plus version tulikuwa na issue ya compatibility lakini sasa ni wazi imekuwa solved.

MENGINE:
Nimejaribu image attachments, ni rahisi zaidi kwa sasa.

Nimependa interface yake.

Bado naidodosa zaidi
 
Yaah kwa kweli ipo fresh smooth na kadhalika, ila notifications toka version iliopita mpaka hii ndio tatizo kubwa.
 
Ndio napata ila pale tu napo kuwa bado nimo jf ila nikitoka sipati, ambalo ndilo lengo haswaa la notifications nafikiri.
Aaaah, you must be logged in (on the app) to get notifications.

That's how all apps work. Otherwise inatumaje updates sasa?

b3fd160389ce16452b2df2d0839229cf.jpg
mfano
 
Simu yangu IPhone 6s haisomi app ya jf na mbaya zaidi nilijatibu kui uninstall ili ni re install lakini kwenye AppStore haipo. Yaani siioni so siwezi ku install tena. Naomba ma moderators mnisaidie namna ya ku install tena JF App kwenye Simu yangu.
 
Naomba nichek kwenye namba hii nikupe maekezo 0653 303002
 
baada ya kubadili simu nimeshindwa ku install app ya mobile Jf katika simu hii mpya.

Simu ni iPhone 6s, je ni kwangu tu au ni ni tatizo la kiufundi?

Naomba msaada please
 
Back
Top Bottom