Nina latest version Mzee na baada ya ku update haikuchukua mda na tatizo nimeamua ku report baada ya kugundua kuwa si simu yangu peke yake
Mkuu za majukum nilikuwa naomba msaada wako jinsi ya kuanlock sim ili hata ikiibiwa niweze kuipata sim yangu ni Samsung NOTII naomba msaada kiongozi
Mkuu The Tan-talizer unawezaje ku capture screen shot kwenye iPhone? Mi nashindwa mbona?
Bonyeza kitufe cha switch na ile button ya 'home' kwa wakati mmoja