JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?


  • Total voters
    273
  • Poll closed .
ukiwa ccm lazima mafisadi wa kutoe ubongo wote kisha ubakie bogazi tumuulize huyo mingo dr kamwiba mama yake au mkeo? au unatafuta mume kuwa free
 
Ikiwa ni mwaka kamili hadi pale tutakapompata rais mpya, tassisi ya TWAWEZA ilitoa ripoti ambayo wengi hawakukuliana nayo. Nasi kama raia ambao wanapenda ukweli, sinabudi kuanzisha huu uzi kuangalia ukweli kwamba uchaguzi ukiitishwa leo kati ya Dr. Slaa, Edward Lowassa, Mizengo Pinda na Samwel Sitta nani atashinda?

Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA

naomba uniangalizie kama vijana wa LUMUMBA wameVOTE hapa bila kumsahau RIZ, MAMNDENYI, MSALANI, PASCO, CHABRUMA, NAPE, MWANAKIJIJI, na wapambe wotw wa mtaa huo. tunawata watupie humu kura zao.
 
maoni ya wananchi(twaweza) vs maoni ya jf(ubinafsi,unaopenda kuambiwa wanachopenda kusikia),ukiwa tofauti,unaonekana unatumika,inataka kufanana maoni ya rasimu ii(tume ya katiba-wananchi) vs maoni ya wabunge(wabinafsi),
washabiki na viongozi wa chadema hawapendi kuambiwa ukweli(kukosolewa),nakumbuka kuna siku gazeti la raia mwema liliwakosoa,wakadai limenunuliwa,kunakipindi walishutumu jf imenuliliwa,kuna kipindi walishutumu itv,yaani wao wasikolewe

piga kura ww mluga acha ubazazi..
 
Dr Wilbroad Peter Slaa

Admin naomba mhesabu kura yangu, natumia nokia ya tochi, nikibonyeza "Vote Now" inagoma.
 
Hizi kura aibu.. Ndo mana vijana wa lumumba hawatii hata pua humu
cc: ritz, mamdenyi, pasco, chabruma, faizafoxy, simiyuyetu
 
Back
Top Bottom