Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,198
- 138,560
Mods isije kuonekana mnamuhujumu mzee wetu Dr.Slaa,hizi kura za majina zihesabiwe,
Binafsi nakubali sana utendaji wa Lowassa ila affectionaly namkubali Dr. Slaa.. Ila huu utafiti ningeshauri kungekuwa na kigezo kwamba wanaopiga kura labda wale ambao wana zaidi ya mwaka au mwezi humu.. Zaidi ya hapo zitatengenezwa Id nyingi by mtu mmoja. Then utafiti becomes useless and senseless..
Zitto toa maoni yako kwenye kura ya maoni ya jamii forum
Mzee kibo mbona hizi kura za wazi anashinda dr slaa, zile za zitto na twaweza anashinda lowas? Au kuna kasiri hapo kamejificha?Rais atatoka Ukawa