Na kama wagombea ni hao tu mimi nakosa rais coz naamini wote hawafai
Mkuu MSALANI
Mpe kura yako Dr.Slaa kwenye hii uu uzi wa kijiwe cha Chadema mimi pia nimempa lakini kazi ipo uraiani huko ndiyo kuna kuburi la Chadema.
hapo ndo umeshapiga kura yako?Maoni ya WANANCHI(TWAWEZA) VS Maoni ya JF(UBINAFSI,unaopenda kuambiwa wanachopenda kusikia),ukiwa tofauti,unaonekana unatumika,inataka kufanana maoni ya RASIMU II(TUME YA KATIBA-wananchi) VS maoni ya wabunge(wabinafsi),
Washabiki na viongozi wa chadema hawapendi kuambiwa ukweli(kukosolewa),nakumbuka kuna siku gazeti la raia mwema liliwakosoa,wakadai limenunuliwa,kunakipindi walishutumu JF imenuliliwa,kuna kipindi walishutumu ITV,yaani wao wasikolewe
hiyo maiti mkuu, haijitambui.WanaJF pia wanakaa uraiani. Picha halisi ya uraiani ndio hii.