Ubuntuwize
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 312
- 93
MIMI sio Mungu ila na amini katika kuishi kwngu ipo siku nitshuhudia mzlendo wa kweli mwenye specie kama ya Dr Slaa anaongoza nchi hii ilio jaa udhalimu kwa sasa.
Ikiwa ni mwaka kamili hadi pale tutakapompata rais mpya, tassisi ya TWAWEZA ilitoa ripoti ambayo wengi hawakukuliana nayo. Nasi kama raia ambao wanapenda ukweli, sinabudi kuanzisha huu uzi kuangalia ukweli kwamba uchaguzi ukiitishwa leo kati ya Dr. Slaa, Edward Lowassa, Mizengo Pinda na Samwel Sitta nani atashinda?
Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA
bavicha wameizidi uvccm kwa multiple ID hapa JF sio?Dr Slaa hudanganywa na multiple id za bavicha hapa jf! Kamwe hawezi kushinda kwenye sanduku...
Ikiwa ni mwaka kamili hadi pale tutakapompata rais mpya, tassisi ya TWAWEZA ilitoa ripoti ambayo wengi hawakukuliana nayo. Nasi kama raia ambao wanapenda ukweli, sinabudi kuanzisha huu uzi kuangalia ukweli kwamba uchaguzi ukiitishwa leo kati ya Dr. Slaa, Edward Lowassa, Mizengo Pinda na Samwel Sitta nani atashinda?
Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA
Dr Slaa hudanganywa na multiple id za bavicha hapa jf! Kamwe hawezi kushinda kwenye sanduku...