JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?


  • Total voters
    273
  • Poll closed .
Mbona Dr.Slaa JF anaibuka mshindi kila siku kazi ipo uraiani huko ndiyo watu hawamtaki.
 

Hata hii nayo haina tofauti na ile ya TWAWEZA,zote ni zilezile tu wala haziakisi ukweli.

Kuna watu humu wana IDs hadi kumi,unategemea nini?

Kama uko serious nenda mitaani preferably vijijini ndo kuna wapiga kura humu nikutekenyana tu.

Anyways sanduku lenyewe ndo msema kweli.
 
Mbona Dr.Slaa JF anaibuka mshindi kila siku kazi ipo uraiani huko ndiyo watu hawamtaki.


Ukawa, wanajipa moyo kweli....!!!! Huku JF ni almost 90% Ukawa...!!! So Rais wa huku JF ni Slaa....!!!

But hawataamini macho yao, JINSI LYAGWANAN Lowassa akichukua nchi softly....!!!! Dr. Slaa hawezi kabisa to compete with Lowassa...!!!!

Lowassa 2015
 
Back
Top Bottom