JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?

  • Total voters
    273
  • Poll closed .
Mkuu Ritz ...

Umeniacha hoi...Wamesahau kuwa JF haiwezi kuleta picha halisi, ukichukulia kuwa mtandao huu umefurika misukule wa CHADEMA.

Waache waendelee kujidanganya, halafu mwisho wa siku wanasema wameibiwa kura!
Mkuu MSALANI

Mpe kura yako Dr.Slaa kwenye hii uu uzi wa kijiwe cha Chadema mimi pia nimempa lakini kazi ipo uraiani huko ndiyo kuna kuburi la Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa ni mwaka kamili hadi pale tutakapompata rais mpya, tassisi ya TWAWEZA ilitoa ripoti ambayo wengi hawakukuliana nayo. Nasi kama raia ambao wanapenda ukweli, sinabudi kuanzisha huu uzi kuangalia ukweli kwamba uchaguzi ukiitishwa leo kati ya Dr. Slaa, Edward Lowassa, Mizengo Pinda na Samwel Sitta nani atashinda?

Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA

Dr. Slaa
 
Mkuu Ritz ngoja nipige kura!

............

Dr.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Babu kikono Ikulu ataiona paa tu! endeleeni kupeana false hope....
 
Mkuu MSALANI

Mpe kura yako Dr.Slaa kwenye hii uu uzi wa kijiwe cha Chadema mimi pia nimempa lakini kazi ipo uraiani huko ndiyo kuna kuburi la Chadema.

Aisee mnabidii kweli! hadi mnanena kwa lugha?
Kwahiyo uraiani ndo hakuna misukule? hizo tafiti za kupika kama ilivyo pikwa theruthi ya wazenj kwenye bunge la katiba mpya tumezizoea, safari hii kitaeleweka tu.
 
SUbiri ngonjera za kuibiwa kura, wewe ni msukule pia!
 
hata huoni aibu kuita choo "Mkuu"
 
Last edited by a moderator:
Aisee mnabidii kweli! hadi mnanena kwa lugha?
Kwahiyo uraiani ndo hakuna misukule? hizo tafiti za kupika kama ilivyo pikwa theruthi ya wazenj kwenye bunge la katiba mpya tumezizoea, safari hii kitaeleweka tu.
Kura za uraiani Dr.Slaa analalamika Usalama wa Taifa wanamuibia kura.
 
Aisee mnabidii kweli! hadi mnanena kwa lugha?
Kwahiyo uraiani ndo hakuna misukule? hizo tafiti za kupika kama ilivyo pikwa theruthi ya wazenj kwenye bunge la katiba mpya tumezizoea, safari hii kitaeleweka tu.
SUbiri ngonjera za kuibiwa kura, wewe ni msukule pia!
 
Hadi saasa kuna wachangiaji 259
dr slaa anaongoza
Ha wengne wameachwah mbali hata ukiwaingezea na hizo za walioharbu kwa kuost tu vimaneno!
 
Back
Top Bottom