JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?

  • Total voters
    273
  • Poll closed .
Nimempigia Dr. Slaa kura moja yenye thamani ya kura 30,000 za jimbo nitokako ..huo ndo ukweli. Naamini pia kila kura hapa ya Dr. inaambatana na zaidi ya kura mbili za wapendanao. Tunaelekea 2015 na mikakati ya kutoibiwa kura...atakaye jaribu iwe kupitia wakurugenzi kutangaza kwa mabavu matokeo kinyume na matakwa ya wapiga kura, ku-forge kura, policeccm kuigia vituo vya kura na kupiga risasi ovyo ili magamba yaibe.....watakutana na hasira ya MUNGU. Ni ccm na washirika wao watarazimika kwenda mahakamani na si vinginevyo...tulishaenda inatosha kama mchezo hauna balanced referee!
 
Hapa siyo suala la la Lowasa, Sitta, au Slaa kuwa Rais, suala ni Chama gani chenye Sera nzuri ambacho kimetoa viongozi wengi mahiri. "obviously", ni CCM ndicho kimetoa Lowassa, Sitta, na kuviacha vyama vingine vya ovyo ovyo vikigaragara chali kama mende. TWAWEZA hongereni sana. Kwa hakika ni aibu na ni wendawazimu kujenga matumaini kuwa Chadema iko siku itashika dola Tanzania. na ni wendawazimu kutoka nyumbani kwako na kuaga watoto eti naenda kumpigia kura Slaa, ni kichaa kisichokuwa na tiba kudhani Slaa ni mwanasiasa badala ya kichaa. Chadema ni sawa na kinyesi cha mwendawazimu.
 
Ikiwa ni mwaka kamili hadi pale tutakapompata rais mpya, tassisi ya TWAWEZA ilitoa ripoti ambayo wengi hawakukuliana nayo. Nasi kama raia ambao wanapenda ukweli, sinabudi kuanzisha huu uzi kuangalia ukweli kwamba uchaguzi ukiitishwa leo kati ya Dr. Slaa, Edward Lowassa, Mizengo Pinda na Samwel Sitta nani atashinda?

Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA

Mwingereza, habari ya kwako?. Naomba ufanye hili. Ikifika tarehe 15 unganisha kwa pamoja votes za kwenye hii threads na hizo hapo juu ili kupata votes zote kwa pamoja.
 
Hapa siyo suala la la Lowasa, Sitta, au Slaa kuwa Rais, suala ni Chama gani chenye Sera nzuri ambacho kimetoa viongozi wengi mahiri. "obviously", ni CCM ndicho kimetoa Lowassa, Sitta, na kuviacha vyama vingine vya ovyo ovyo vikigaragara chali kama mende. TWAWEZA hongereni sana. Kwa hakika ni aibu na ni wendawazimu kujenga matumaini kuwa Chadema iko siku itashika dola Tanzania. na ni wendawazimu kutoka nyumbani kwako na kuaga watoto eti naenda kumpigia kura Slaa, ni kichaa kisichokuwa na tiba kudhani Slaa ni mwanasiasa badala ya kichaa. Chadema ni sawa na kinyesi cha mwendawazimu.

Sera nzuri kama hizi hapa chini:-
(a) ukwapuaji wa IPTL
(b) Ukwapuaji kama huu wa Escrow account
(c) Ukosefu wa dawa mahospitalini ( MSD kweupe)
(d) Mauaji ya Albino na vikongwe
(e) EPA
(f) meremeta na n.k
(g) Deni la taifa Trill.40
(h) misafara ya kukopa ughaibuni
(i) utoroshajii wa twiga na Tembo
(j) Utoroshaji wa pesa kifisadi - Jersey na uswisi
(k) Kushusha ufaulu kidato cha nne na sita ili kuendana na kushuka kwa elimu
(l) mazao ya wakulima kuozea maghalani
(m) kusamehe kodi makampuni makubwa huku PAYE NA SDL ukiwa mwiba kwa wazalendo
(n) Kushuka kwa thamani ya Shilingi - now is Tzs.1720 kwa kila dola moja ya marekani
(o) Haijulikani kwa nini malipo ya vitu hapa nchi hufanywa kwa dola badala ya Tshs
(p) Sembe( madawa ya kulevya) kuwa scandal ya taifa
(q) Kuwapiga na kutesa wale wanaoikosoa serikali iliijisahihishe
(r) n.k n.k n.k

Nani sasa kinyesi cha mwendawazimu kama usemavyo wewe. Kama sio CCM!!
 
Naona LOWASA ameshazifikia za asilimia za 13% TWAWEZA(maoni ya wananchi),sasa mlipodai ni uongo,si hizo kazifikia na atavuka.
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Hapa siyo suala la la Lowasa, Sitta, au Slaa kuwa Rais, suala ni Chama gani chenye Sera nzuri ambacho kimetoa viongozi wengi mahiri. "obviously", ni CCM ndicho kimetoa Lowassa, Sitta, na kuviacha vyama vingine vya ovyo ovyo vikigaragara chali kama mende. TWAWEZA hongereni sana. Kwa hakika ni aibu na ni wendawazimu kujenga matumaini kuwa Chadema iko siku itashika dola Tanzania. na ni wendawazimu kutoka nyumbani kwako na kuaga watoto eti naenda kumpigia kura Slaa, ni kichaa kisichokuwa na tiba kudhani Slaa ni mwanasiasa badala ya kichaa. Chadema ni sawa na kinyesi cha mwendawazimu.

Naona Povu tu linakutoka! Huu ndio ukweli mchungu msioutaka,achana na hizo tafiti njaa zinazofanyiwa hapo viunga vya lumumba.jf ni kielelezo sahihi cha vijana,kama huamini twende hata fb,matokeo ndio haya!
 
Kuna watu wana ID zaidi ya 8, sasa hapo unategemea kura sitakuwa fair......Utafiti wa TWAWEZA ndiyo wenyewe

Hivi kuna wenye id nyingi hapa kama nyie mabuk 7 mnazotumia kwenye payrall ya nape? Si mzitumie? Kiukweli maccm kwa sasa yameshapungua sana,hata kijijini kwetu yanahesabika
 
Hivi kuna wenye id nyingi hapa kama nyie mabuk 7 mnazotumia kwenye payrall ya nape? Si mzitumie? Kiukweli maccm kwa sasa yameshapungua sana,hata kijijini kwetu yanahesabika
Yaani kutaja hilo jina la Nape umenichafua roho mkuu
 
mitandaoni mshindi lazima awe Dr.slaa lakini tukija kwenye kura ya jumla na halisi mshindi atatoka ccm. Haijalishi ni mbovu au dhaifu kwa kiwango gani.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
mitandaoni mshindi lazima awe Dr.slaa lakini tukija kwenye kura ya jumla na halisi mshindi atatoka ccm. Haijalishi ni mbovu au dhaifu kwa kiwango gani.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:

2015 hamuibi kura tena. Kwa hiyo kila sehemu miti itakuwa inateleza tu
 
naona lowasa ameshazifikia za asilimia za 13% twaweza(maoni ya wananchi),sasa mlipodai ni uongo,si hizo kazifikia na atavuka.
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

nahisi ubongo wako unahitilafu.. Hivii unafikiri kwa kutumia makaliooo au?
 
Back
Top Bottom