D
Deleted member 485868
Guest
Utasikia"sikujua kama jf kuna vimbaumbau namna hii..mara aiseee jf kuna mabonge "Mara "sijaona mwanamke mzuri hata mmoja jf kwenye jf party"
Tegemea nyuzi nyingi sana,mbona zamani ndio ilikuwa hivyo