JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

Asante Max.

Mi napendekeza kitu katika uzi, zile reply zenye like nyingi ndizo ziwe zinaonekana za kwanza.

Yani katika uzi, reply zinazo ongoza kwa like ziwe zinajipanga na kuonekana mwanzoni.

Hii itasaidia watu kujenga hoja, majibu kupatikana kwa wepesi, na watu kujikita katika uandishi mzuri.

Unakuta mtu kauliza swali lkn unakuta jibu sahihi lipo #80 , mwanzoni ni masihara matupu.

Sasa huyu wa #80 akifikiiwa watu watampa like na kuonekana wa mwanzoni.

Kiufupi, mpangolio wa reply usiwe kutokana na mtu kawahi, bali hoja zilizopendwa ma watu

Cc Maxence Melo
Sidhan kama itafaa
 
Shukran mkuu, nafurahi nimepata nafasi moja kwa moja kutalk na boss, THREAD HUWA ZINAFUTWA NNO MKUU NA BAN ZINATEMBEA KAMA UMEME UKIANGALIA KOSA HULIONI NA WALA HUAMBIWI KOSA,. TUSAIDIE KWA HILI.
Kwenye browser huwa wanaandikaga kosa
 
Mr Melo niambie maana ya OP kwanza.
Pia naomba uweke option ya italic, bold na underline ktk upande wa app.
Good job kaka.
 
Back
Top Bottom