xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,710
Ni kweliKwa maboresho nadhan ingewekwa kwenye app ili mtu aione ajue kosa lake asirudie, kupigwa ban kunasababisha mtu kuja na new id zisizo za lazima,
Ni kweliKwa maboresho nadhan ingewekwa kwenye app ili mtu aione ajue kosa lake asirudie, kupigwa ban kunasababisha mtu kuja na new id zisizo za lazima,
kwenye Itikadi ni tatizo. Dini, siasa na Michezo italeta balaa!!JAMANI NAOMBA IWE KWA COMENT SIO UZI HUSIKA ITAVUNJA MOYO WATU MTU AKIPOST POINT LIKE 2 UTUMBO DISLIKE 100 JAMAN MH SIPAT PICHA
UMEONAEEEEEE....kwenye Itikadi ni tatizo. Dini, siasa na Michezo italeta balaa!!
nakutafuta sana mmama
Wazo zuri but tatizo ni pale ambapo mtu ameguna au ameandika nimewahi siri, au ngoja waje na watu wanamwagia likes.... Hebu fuatilia uzi wenye pages nyingi humu ndani utashangaa kweli...Asante Max.
Mi napendekeza kitu katika uzi, zile reply zenye like nyingi ndizo ziwe zinaonekana za kwanza.
Yani katika uzi, reply zinazo ongoza kwa like ziwe zinajipanga na kuonekana mwanzoni.
Hii itasaidia watu kujenga hoja, majibu kupatikana kwa wepesi, na watu kujikita katika uandishi mzuri.
Unakuta mtu kauliza swali lkn unakuta jibu sahihi lipo #80 , mwanzoni ni masihara matupu.
Sasa huyu wa #80 akifikiiwa watu watampa like na kuonekana wa mwanzoni.
Kiufupi, mpangolio wa reply usiwe kutokana na mtu kawahi, bali hoja zilizopendwa ma watu
Cc Maxence Melo
hapa shidaa ipo kwenye kuEdit headingMoja ya marekebisho mnatakiwa muweke sehemu ya kudelete mada mtu aliyeianzisha mwenywe
Kwa maneno mengine waangalie possibility ya kuexpandongezeni mfumo wa jamii pay nyie mtakuwa kati ya muuzaji na mnunuzi humu jamii forum kwenye lili jukwaa la matangazo
Kweli mkuu.Tulishasema ni vigumu kuweka dislike; iliwahi wekwa ikawa league ya kisiasa ku-discredit hoja. Nadhani kiungwana mtu akiandika kitu hukubaliani naye, mpotezee wala usigonge LIKE. Au, mjibu kwa hoja makini zaidi