- Feb 10, 2006
- 4,433
- 15,853
- Thread starter
- #21
Hivi bado kuna watu wanatumia Windows Phones? Tutalifikiria hili; takwimu zinaonesha wanaotumia windows hapa JF ni 3% kwa sasaNi lini jf app itapatikana katika app store ya window phone?
Hivi bado kuna watu wanatumia Windows Phones? Tutalifikiria hili; takwimu zinaonesha wanaotumia windows hapa JF ni 3% kwa sasaNi lini jf app itapatikana katika app store ya window phone?
Wivu sina ila roho imeuma kiduchu.
Kila la kheri JF...
Wahenga bado tupotupo sana...
ZimeongezwaTuongezeeni na emojis.
kuna hii animation hujitokeza pale mtu anapo bonyeza sehemu ya new post (kwa sisi tunao tumia browser kupitia simu chrome) huwa ina dhihirisha mtumiaji ni nani kwa kuonesha ID YAKE KAMA INAVYO ONESHA HAPA CHINI, sasa kama upo kwenye basi na kuna mtu pembeni anaweza kujua wewe ni nani kirahisi
sehemu zenye kamera kama benki pia ukiwa unaperuzi ni rahisi operator ku zoom na kuona user ni nani
napendekeza moja ya maboresho muondoe hiyo animatio na iwe kama ile ya kennyatallk tu yani uki click hai animate kushuka chini na hivyo ku reveal your ID
AHSANTE.
Maxence Melo
View attachment 815144
Tupo! tuangaliwe hivyo hivyo kwa uchache wetu maana wengine hatuna mpango wa kuziacha kabisaHivi bado kuna watu wanatumia Windows Phones? Tutalifikiria hili; takwimu zinaonesha wanaotumia windows hapa JF ni 3% kwa sasa
Kwa walioshiriki utafiti huu watakuwa walipata kuwajua kwa sura na majina watafiti wetu. Wengine nilihojiana nao mwenyeweNitafarijika zaid ukiwataja kwa majina watafit mlio shirikiana nao katika izo tafit.....
Tulishasema ni vigumu kuweka dislike; iliwahi wekwa ikawa league ya kisiasa ku-discredit hoja. Nadhani kiungwana mtu akiandika kitu hukubaliani naye, mpotezee wala usigonge LIKE. Au, mjibu kwa hoja makini zaidiNimeona members wanahitaji Dislike button. Iangaliwe kiumakuni au suijui utafiti unasemaje kuhusu hilo. Isije kutumika kisiasa iangaliwe vizuri.
nakutafuta sana mmamaNimechangia Huu uzi kwa kuona kuwa umeuanzisha mwenyewe Melo.
Heshima kwako.
Kasie Mahaba Matata.
hii imekaa sawa.Tulishasema ni vigumu kuweka dislike; iliwahi wekwa ikawa league ya kisiasa ku-discredit hoja. Nadhani kiungwana mtu akiandika kitu hukubaliani naye, mpotezee wala usigonge LIKE. Au, mjibu kwa hoja makini zaidi
Ndiyo mkuu! Na sisi wenye vi Blackberry atukumbuke bana!!Ni lini jf app itapatikana katika app store ya window phone?
Hakutakuwa na downtime; ikitokea haitazidi dakika 5 tumkuu hatutakuwa hewani tena au marekebisho yanafanyika wakati sisi tunaendelea kupitia huu mtandao?
Bila kusahau kuonesha idadi ya Dislike unazotoa kama ilivo kwa like.Msisahau kitufe cha dislike.