James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,555
sion last seen
Kwani hapa wasuplast seen siioni ebu rudisheni.
Samahani mkuu labda hukunielewa vizuri. Tatizo langu halihusu signature bali linahusu kuonyesha aina ya simu ninayotumia ku-browse JamiiForums wakati nitumapo post au reply....yaaani hapa: "Sent by Samsung JI using JamiiForums". Je, hakuna namna ya kuondoa hizi "mbwembwe" ili kwamba ninapotumia PC au simu isijulikane nimetumia kifaa gani? Nadhani nimeeleweka mkuu Maxence Melo na wakuu wengine wa JamiiForums . Pamoja sana.
Uki-disable hivyo ndo inaondoka mkuu wanguSamahani mkuu labda hukunielewa vizuri. Tatizo langu halihusu signature bali linahusu kuonyesha aina ya simu ninayotumia ku-browse JamiiForums wakati nitumapo post au reply....yaaani hapa: "Sent by Samsung JI using JamiiForums". Je, hakuna namna ya kuondoa hizi "mbwembwe" ili kwamba ninapotumia PC au simu isijulikane nimetumia kifaa gani? Nadhani nimeeleweka mkuu Maxence Melo na wakuu wengine wa JamiiForums . Pamoja sana.
Nashukuru kwa mrejesho mkuu lakini kwenye simu yangu hakuna option ya OFF kama unavyoona kwenye attachment na ninaambiwa iko disabled lakini bado inaonekana iko ON. Inawezekanaje iseme ipo disabled na wakati huo huo naona iko ON na hainipi option ya OFF?Uki-disable hivyo ndo inaondoka mkuu wangu