tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,038
- 25,438
Mkuu hili tatizo nadhani lilitatuliwa pale mlipopata 'akili' ya ku-condense maandishi yaliyokuwa quoted....hii ni nzuri sio kwa wanaotumia simu tu bali hata tunaotumia PC.Tulibaini kuwa watu wana-abuse pia hii. Walikuwa wana-quote bandiko reeeeefu na kuwaumiza wanaotumia simu. So, ni selected threads tunachagua 1st post ionekane kila unapoperuzi kurasa zaidi.
Hata hivyo, tunaliangalia upya hili
Lakini pia mkuu....watu tunaotumia simu hatupendi tujulikane...na kibaya zaidi mtandao unataja hadi aina ya simu anayotumia mtu. Kama itawezekana naomba hii iondolewe ili kwamba mtu akiandika uzi au reply asijulikane kama ametumua simu au la. Kama haiwezekani, rudisheni ile app ya zamani ambayo ilimpa mtumiaji wa jf kuamua kuondoa tick ili isioneshe anatumia simu (na aina ya simu). Sioni mantiki ya kuonesha aina ya kifaa anachotumua mwanajf kubrowse jf.
Nawasilisha.


