FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,867
- 5,064
Usipo like post inatosha.Msisahau kitufe cha dislike.

Kifupi imekaa poa hongera sanaWakuu,
Napenda kutoa taarifa mapema kuwa kutakuwa na maboresho kadhaa ili kutekeleza baadhi ya maombi ya wadau na kurekebisha kasoro kadhaa katika tovuti na app yetu.
Aidha, baada ya utafiti tulioufanya (tunawashukuru wote walioshiriki katika utafiti huu), kuna mengine yataendelea kuongezwa na kuboreshwa ndani ya siku 45 zijazo.
JF inayoonekana na kutumika sasa ilifanyiwa maboresho yaliyotokana na utafiti kwa wadau kati ya mwaka 2012 hadi 2016 ambapo Januari 2016 ilianza kutumika rasmi. Ni hii hii inayoboreshwa zaidi mwaka 2018 ili kuzidi kuifanya JF iwe rahisi kwa wengi kuitumia na kuifurahia.
Yanayotarajiwa:
1) Kuna ambao hawataona utofauti haraka kwani hatujacheza mbali na kilichozoeleka lakini wataona urahisi zaidi wa kuitumia JF
2) Kuna watakaoona baadhi ya vitu vimeondolewa - hivi vitatolewa sababu za kuondolewa kwake na kuoneshwa maboresho yaliyofanywa ili kutopoteza vitu hivyo
3) App: Waliokuwa wakikwama kwa mambo kadha wa kadha - yamerekebishwa kwa kadiri tulivyoweza
4) Mapendekezo ya wadau baada ya JF kufanyiwa maboresho haya yatafanyiwa kazi ndani ya siku hizo hizo 45
5) Search itakuwa inaleta matokeo haraka na relevant zaidi
6) Wanaotumia app wataona baadhi ya vitu ambavyo walikuwa wakikwama vikiwa vimetatuliwa
7) Emoji nyingi zitakuwa rahisi kutumiwa na yeyote (ziko supported)
8) JF itaanza kufunguka kwa kasi zaidi ya awali
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kushiriki katika utafiti uliofanywa (nje ya mtandao) ili kuboresha jinsi mnavyoutumia mtandao huu.
Asante
Naaam!! Nilijiuliza sanaKipya nilichokiona ni idadi ya likes ambazo mtu anapata zikionekana zote mwanzon hataupewa likes 200 zitaonekana 5 tu
sante kwa kuwasilisha hoja hii kwa maneno mafupi nimesha wasilisha jambo hili piaNatumia browser Chrome kwenye simu, muda wa comment hauonekani,
Muda ni muhimu kwa kila comment kama ilivokuwa zamani.
Mlifanyie kazi Maxence Melo JamiiForums Invisible
Nilikuwa natafuta vitufe vya Like,Reply,Quote ,pia post reply ipo chini badala ya juu na vingine upande wa kushoto kumbe vimehamia upande wa kulia,ni kama mtu umezoea kutumia Mac na unaenda Window na Vice versa,nimepata taabu sana kutafuta vitufe lakini ni maboresho mazuri sana ,hongereni timu nzima ya JFWakuu,
Napenda kutoa taarifa mapema kuwa kutakuwa na maboresho kadhaa ili kutekeleza baadhi ya maombi ya wadau na kurekebisha kasoro kadhaa katika tovuti na app yetu.
Aidha, baada ya utafiti tulioufanya (tunawashukuru wote walioshiriki katika utafiti huu), kuna mengine yataendelea kuongezwa na kuboreshwa ndani ya siku 45 zijazo.
JF inayoonekana na kutumika sasa ilifanyiwa maboresho yaliyotokana na utafiti kwa wadau kati ya mwaka 2012 hadi 2016 ambapo Januari 2016 ilianza kutumika rasmi. Ni hii hii inayoboreshwa zaidi mwaka 2018 ili kuzidi kuifanya JF iwe rahisi kwa wengi kuitumia na kuifurahia.
Yanayotarajiwa:
1) Kuna ambao hawataona utofauti haraka kwani hatujacheza mbali na kilichozoeleka lakini wataona urahisi zaidi wa kuitumia JF
2) Kuna watakaoona baadhi ya vitu vimeondolewa - hivi vitatolewa sababu za kuondolewa kwake na kuoneshwa maboresho yaliyofanywa ili kutopoteza vitu hivyo
3) App: Waliokuwa wakikwama kwa mambo kadha wa kadha - yamerekebishwa kwa kadiri tulivyoweza
4) Mapendekezo ya wadau baada ya JF kufanyiwa maboresho haya yatafanyiwa kazi ndani ya siku hizo hizo 45
5) Search itakuwa inaleta matokeo haraka na relevant zaidi
6) Wanaotumia app wataona baadhi ya vitu ambavyo walikuwa wakikwama vikiwa vimetatuliwa
7) Emoji nyingi zitakuwa rahisi kutumiwa na yeyote (ziko supported)
8) JF itaanza kufunguka kwa kasi zaidi ya awali
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kushiriki katika utafiti uliofanywa (nje ya mtandao) ili kuboresha jinsi mnavyoutumia mtandao huu.
Asante
Kwa mnaotumia device ndogo sana. Tunafanya mkakati wa kuwapa version rahisi zaidi kwenu.Maxence Melo , search boks iliyokuwepo kwenye wall pale juu kushoto pemben ya ile icon ya ID/ACCOUNT ilikua inasaidia ku search kitu ki urahisi asaiv siioni through browser, tatzo nini? Ni ya muhm sana, kitu kingne tunaotumia browser kwa simu ndogo App haifit kweny display, baadh ya icon/word mfano report/ reply/ like/ quote nk zinakua upande kulia na hazionekan kwenye display means unaweza andka comment halaf ushndwe ku reply sababu icon huioni, la sivyo mpk utumie setting ya opera uangalie/ufungue page kama "single column view" tofaut na mwanzo, naomb mjarb ku squiz kila kitu kifit kama mwanzo
Sema kitufe cha kutukana tusi LA kimya kimya bana!Msisahau kitufe cha dislike.
Tatizo siyo bando. Ule mwonekano wa kule FREEBASICS ulikuwa mzuri mpaka NOTIFICATIONS unazipata tofauti na WEB ya kawaidaSi ukanunue bando achana na freebasic
Wakuu,