Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Natumia Taptalk naona mambo si haba napata Notification zote na kwa Wakati.
Mapato yanayotokana na matangazo tupate gawio la faida kama wafanyavyo voda, tigo na airtel maana wateja ndo tunaleta faida huyo

Bado huoni changes upande wa muda?replys, mentions, quotations zinapaswa kuonenaka zimeandikwa sa ngapi hii inamrahisisha msomaji kuona ametajwa sangap? je amechelewa kujibu? post ya mwisho kupostiwa ktk mada fulan ilikua sangapi? sio kila muda utakua active onle. kama kuna uwezekano zingatien hili
Maxence Melo
Umeona tangazo lolote mkuu?Mapato yanayotokana na matangazo tupate gawio la faida kama wafanyavyo voda, tigo na airtel maana wateja ndo tunaleta faida huyo
Usisahau urahisi wakuweka picha au video, hapa jf ni ngumu sana tofauti na mitandao mingine.Wakuu,
Napenda kutoa taarifa mapema kuwa kutakuwa na maboresho kadhaa ili kutekeleza baadhi ya maombi ya wadau na kurekebisha kasoro kadhaa katika tovuti na app yetu.
Aidha, baada ya utafiti tulioufanya (tunawashukuru wote walioshiriki katika utafiti huu), kuna mengine yataendelea kuongezwa na kuboreshwa ndani ya siku 45 zijazo.
JF inayoonekana na kutumika sasa ilifanyiwa maboresho yaliyotokana na utafiti kwa wadau kati ya mwaka 2012 hadi 2016 ambapo Januari 2016 ilianza kutumika rasmi. Ni hii hii inayoboreshwa zaidi mwaka 2018 ili kuzidi kuifanya JF iwe rahisi kwa wengi kuitumia na kuifurahia.
Yanayotarajiwa:
1) Kuna ambao hawataona utofauti haraka kwani hatujacheza mbali na kilichozoeleka lakini wataona urahisi zaidi wa kuitumia JF
2) Kuna watakaoona baadhi ya vitu vimeondolewa - hivi vitatolewa sababu za kuondolewa kwake na kuoneshwa maboresho yaliyofanywa ili kutopoteza vitu hivyo
3) App: Waliokuwa wakikwama kwa mambo kadha wa kadha - yamerekebishwa kwa kadiri tulivyoweza
4) Mapendekezo ya wadau baada ya JF kufanyiwa maboresho haya yatafanyiwa kazi ndani ya siku hizo hizo 45
5) Search itakuwa inaleta matokeo haraka na relevant zaidi
6) Wanaotumia app wataona baadhi ya vitu ambavyo walikuwa wakikwama vikiwa vimetatuliwa
7) Emoji nyingi zitakuwa rahisi kutumiwa na yeyote (ziko supported)
8) JF itaanza kufunguka kwa kasi zaidi ya awali
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kushiriki katika utafiti uliofanywa (nje ya mtandao) ili kuboresha jinsi mnavyoutumia mtandao huu.
Asante