Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,347
- 6,656
Neno utawala bora tulitumia km kigezo cha kupata misaada kwny mataifa yaliyotuzidi kiuchumi
Sheria ni kwa ajili ya maskini, ushawahi kuona tajiri ana kesiKwahiyo wako juu ya sheria?
Okay sasa nimekupataSheria ni kwa ajili ya maskini, ushawahi kuona tajiri ana kesi
si response mmeipata? huna ela unataka kushindana .. basi mtaendelea kupata mnachotaka kukipataOkay sasa nimekupata
Basi msilaumu vijana wakimasikini wa tanganyika kwa maamuzi yao sawa?
nimeamin hata saa mbovu kuna wakat inasema ukweliSheria ni kwa ajili ya maskini, ushawahi kuona tajiri ana kesi
kwan ni uongo? hujawahi jiuliza kwann kwenye familia yako kwenye vikao wanakutenga ama wanakupa kazi ya kuokota chupa? kwa sababu wanajua we ni mjinga na hamna unachoweza kuchangia kwenye jamiinimeamin hata saa mbovu kuna wakat inasema ukweli
Akili za chawakwan ni uongo? hujawahi jiuliza kwann kwenye familia yako kwenye vikao wanakutenga ama wanakupa kazi ya kuokota chupa? kwa sababu wanajua we ni mjinga na hamna unachoweza kuchangia kwenye jamii
Hivo hivo biblia inakataza umaskini na kuwekwa kwenye kundi la dhambi, kwa mfano ukiwa na kitu kidogo unastahili kunyanganywa na ukiwa na kingi unatakiwa kuongezewa
si bora kazi ya kuokota chupa ndani ya familia ...kuliko wewe ambaye huna tofaut na condom ukishatumika tu unavuliwa na kutupwa chooni hivyo ndivyo ccm inawafanya watu machawa na malofa kama wewe.kwan ni uongo? hujawahi jiuliza kwann kwenye familia yako kwenye vikao wanakutenga ama wanakupa kazi ya kuokota chupa? kwa sababu wanajua we ni mjinga na hamna unachoweza kuchangia kwenye jamii
Hivo hivo biblia inakataza umaskini na kuwekwa kwenye kundi la dhambi, kwa mfano ukiwa na kitu kidogo unastahili kunyanganywa na ukiwa na kingi unatakiwa kuongezewa
Ni kupoteza mudaJamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma
2. Jamii forums imeajiri vijana wengi wa Kitanzania
Kuifungia jamii forums inasababisha wasipate matangazo, na hivyo Melo ataamua kufanya redundant, hawa vijana wataenda wapi
3. Jamii forums ni ubunifu wa Mtanzania mwenzetu
Serikali inashoboka na meta unaacha kitu chetu wenyewe
4. TCRA kusafishwe wametoka kwenye ueledi Sasa wanafanya mambo Kwa kukomoana tu.
5. Kosa la kuifungia jamii forums lilikuwa la kionevu, picha za faragha zilivuja Ikulu na hazikuwa hapa jamii forums pekee.
6 TCRA itoke itoe taarifa ya kwanini wanaendelea kuifungia jamii forums kama walivyo toa taarifa ya kuifungia tarehe 9 September, ukimya wao unatupa wasiwasi.