Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,069
poa sana kamanda wangu........usiwe unafanya hivyo bana.........
hahah!
nimefanya gan jembe langu?
poa sana kamanda wangu........usiwe unafanya hivyo bana.........
darhotwire ilibamba nayo wakati ule ndo ilikuwa habari ya mujini. Unaanza na hotmail na msn messenger, yahoo na yahoo messenger, halafu darhotwire, ikaja hi5 na myspace, alipokuja facebook ndo akaharibu kila kitu na ndugu yake twitterMii nilichelewa kujiunga na JF nilikuwa nacht kuuleee DAR HOT WIRE... nawaona wengi tulokuwa sote kule wapo huku.. wengine niliwa private msg tukakumbukana.
hahah!
nimefanya gan jembe langu?
Me km wewe mtoa mada. Nilikuwa nasoma reply pg krb zote, nacheka mwenyewe, n.k. Mwishowe mwezi huu nikajiunga na nachangia nikiguswa. Ni kwel yakupevusha. Nimewaelewa watu kitabia wake kwa waume, matatizo yaliyo ktk ndoa na mahusiano. Km ile hbr ya 'wanawake na staili za kujifungua' mh kuna makubwa cku hz. Tigo kumbe ni kawaida kbs cku hz, wadada hawawez zaa 4 tht reason. Na mengi kibao.
darhotwire ilibamba nayo wakati ule ndo ilikuwa habari ya mujini. Unaanza na hotmail na msn messenger, yahoo na yahoo messenger, halafu darhotwire, ikaja hi5 na myspace, alipokuja facebook ndo akaharibu kila kitu na ndugu yake twitter
Mimi imenipatia mume mtarajiwa thru Love connect... Viva Jamii Forums!!!
JF imenisaidia kujua vijana wengi wanapenda ujinga-ujinga na sio mambo ya maana.
Mimi leo nilikuwa na hasira lakini hii posti yako imenisaidia kucheka sanaUkingalia profile yangu utaona ni member mdogo sana... naweza kuwa sijachangia sana, au sijapost mambo mengi, lakini mara nyingi nikiwa on line huwa napenda kusoma sana post zenu. kwakweli ukikaa ukatulia, ukawa unasoma mada mbalimbali na kusoma watu wanavyozichangia... utaipenda sana JF.
Wakati mwingine huwa nakwenda hadi page za 15 huko naangalia comments zetu, mmhh ni nzuri sana.. watu wanaelimishana, wanafurahisha na wakati mwingine wanapeana MAKAVU ya uso kwa uso... huwa nacheka sn.
sio hapa tu kwenye mahusiano na mapenzi...
wakati mwingine naperuzi kwenye Udaku, kwenye utani..mhh JF ina raha.
kwangu mimi nimejifunza mengi sana tokana na mada zenu.
nimecheka sana tokana na mada zenu.MF. KUNA MADA MOJA ILIKUWEPO KWENYE UTANI.. INATAJA MAJINA YA WATU, AU MAJINA YA SEHEMU MBALIMBALI. nilicheka sana peke yangu. maana kuna majina balaa niliyasoma humo
nimewasoma baadhi ya member namna ya uchangiaji wao...
Ndio maana naipenda JF..
hebu twambie wewe umeionaje JF?