JamiiForums imenisadia kujua mengi, wewe?

JamiiForums imenisadia kujua mengi, wewe?

Apart from kujifunza jf imekuwa kitoleo cha stress, hakuna siku utaingia jf usicheke mpaka mbavu zikuume.
Yaani kama unataka kucheka ingia jf mbona utacheka sana, page ya kwanza nimecheka sana nilipoona umbwa ......lol acheni jamani. Hasa ukianza kupitia michango mbali mbali lazima ucheke sana. Mimi nimejifunza mengi na Mungu awabariki waanzilishi wa hii kitu .
 
Imeniondolea upweke, nikiwa na msongo wa mawazo naingia JF.
Pia imenikutanisha na watu wenye mawazo tofautitofauti.
 
Mbali na kijifunza mambo mbalimbali kupitia JF, binafsi JF imeniongezea marafiki, nimepata marafiki wengi, wengine hatujuani hata kwa sura but tunachart, tunashirikishana na kusaidiana mambo mengi yahusuyo maisha, nina marafiki hadi vibosile wa hii serikali sikivu.....!!!!!??????
Nimewapata humu humu jamii forums, so jf idumu daima
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nakubali sana, mar anyingi huwa napenda kusoma post na komenti kuanzia huku kw amahusiano na siasa, kuna watu wanamaneno humu lol, km unastress zinapungua ukiingia humu kwakweli najisikia burudani kuwa member wa jamiifourms
 
Hutaki andamana heeee.... kwani wanaokutaka kanisani, msikitini, daladalani, chuo n.k wana tofauti gani na sisi????

hahahaaa... usitake nikamuita hapa aje kutoa ushahidi!!!!!!!!!! :doh:

Tena huku unaweza pata mtu mzuri kuliko katika maeneo uliyoyataja! Maeneo hayo wengi wanavaa ngozi ya kuazima!
 
Hebu tupe siri kidogo charminglady, umewezaje kumdaka mshikaji?
 
Imenisaidia kufikiri kimapana zaidi, kutoa maamuzi kwa kuangalia pande zote husika wa tukio na kujua jinsi ya kufikiria jambo kitofauti



Bila shaka sasa utaachana na House Girl utakuwa mama mwenye nyumba!!!!
au bado utakuwa na fikra za kumpindua mama mwenye nyumba? maana nasikia moja ya mawazo ya House girl ni kumpindua mama...
 
Back
Top Bottom