Ukingalia profile yangu utaona ni member mdogo sana... naweza kuwa sijachangia sana, au sijapost mambo mengi, lakini mara nyingi nikiwa on line huwa napenda kusoma sana post zenu. kwakweli ukikaa ukatulia, ukawa unasoma mada mbalimbali na kusoma watu wanavyozichangia... utaipenda sana JF.
Wakati mwingine huwa nakwenda hadi page za 15 huko naangalia comments zetu, mmhh ni nzuri sana.. watu wanaelimishana, wanafurahisha na wakati mwingine wanapeana MAKAVU ya uso kwa uso... huwa nacheka sn.
sio hapa tu kwenye mahusiano na mapenzi.
wakati mwingine naperuzi kwenye Udaku, kwenye utani..mhh JF ina raha.
Kwangu mimi nimejifunza mengi sana tokana na mada zenu.
nimecheka sana tokana na mada zenu.MF. KUNA MADA MOJA ILIKUWEPO KWENYE UTANI.. INATAJA MAJINA YA WATU, AU MAJINA YA SEHEMU MBALIMBALI. nilicheka sana peke yangu. maana kuna majina balaa niliyasoma humo
nimewasoma baadhi ya member namna ya uchangiaji wao...
Ndio maana naipenda JF..
hebu twambie wewe umeionaje JF?