Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Yeah wanaweza kuwa na sifa zao nzuri za kipekee ambazo ni ngumu kupata kwingine
Tatizo la kwanza la uzi ni kufikiria wanachopenda Wasukuma wengi na yeye mleta mada ndicho wanachopenda na kukipa umuhimu Wazaramo, Wakwere, Wachaga, Wamasai, Wanyakyusa wengi n.k.

Hata hivyo hakuna sifa ya kipekee inayopatikana kwa kabila moja la Wabantu ikawa vigumu kuipata kwenye makabila mengine ya kibantu.
 
Huyu jamaa na promethus walikuwa wote wana yao kuhusu wanyaki..

Sasa walipokutana humu wakaona 'no sweat' kwanini wasitoe ya moyoni..
Hao jamaa sio kabisa mkuu.Wanafaa huo mkoa wabaki wenyewe ukikaa vibaya wanakuchomoa roho hivi hivi unajiona.
Sijaandika kwa chuki hawa watu wabadilike.
KUna situation nilisababishiwa na haya majamaa kidogo nivute kamba,nashukuru Mungu ni mwaminifu kanipigia mno.
 
Ndio maana tumetaja baadhi ya makabila mengine pia yenye sifa zinazoonekana ni nzuri huko juu.
 
Pole sana..
Lakini umejumuisha wote..
Mbona huwa naona wanapenda sana kwenda kanisani na masuala ya ibada..
 
Wamewafanya nini mkuu😅 hizo niliona wanaongelewa wachaga mbona
Kuna stori moja ya kweli kabisa,

Kuna kabila 1 wanaitwa Wamalila kule mbeya, ni wachache sana na kule kuna kuna wanawake wazuri lakin wanyakyusa hawawapendi balaa, kosa mnyakyusa amuone mmalila hapo hapo anaanzisha discussion...

Na katika History ni kwamba Waliwafukuza kwa inavyosemekana
 
Dah , hivi kuna namna kwenye biashara wana wivu fulani wa kijanga? Kuna kitu nataka nifanye uchunguzi mkuu🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…