Jamaa kalalia mkono wake wa kushoto huku akiwa amejishika kichwa kwa mkono huo huo.
Kamuachia mtoto mkono wa koti kenda chepukwa
Hahahahaaa,ulikuwa hujaona binam...!.
Hakuna kitu kibaya duniani kama ukiwa (loneliness )hasa kiza kinapoingia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulivyosema mkono wa koti umenikumbusha secondary kuna jamaa alikuwa anataniwa mkono wa sweater mkono wa sweater................alikuwa hajamuondoa jamaa mpaka yupo sec. ikawa anachukia mpaka mwisho akawa anaitikia asee,LOL.