bruh adjee castle zimepanda bei 😀Happy Mothers Day to you shem. Seran
Wishing all the incredible JF moms out here a day filled with love and joy.
You the Best. Cheers to You.
Nimecheka sanaahaya twende inbox niambie unamshukuru mama kwa jambo lipi na unamkumbuka kwa lipi?
Amina sana!Nawatakia kina mama wote khery ya siku yao Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda na wale waliotangulia mbele ya haki Mwenyezi Mungu awarehemu AMEN
cc secretarybird
Nadhani anamaanisha inbox kwa wamama zetuNimecheka sanaa