Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

S V Surovikin

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
13,594
32,683
JAMII 2 ZA VIUMBE WENYE AKILI ULIMWENGUNI-Wazazi wa kale wa ulimwengu mzima.
Mungu ni Roho.
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi, akaumba mazingira yote yanayohitajika ili kuhifadhi uhai. Akaumba viumbe wote wanaohitajika ili kuleta uwiano wa kimazingira. Baada ya hapo, Mungu aliumba viumbe wenye akili wa aina mbili tofauti.

Viumbe hao wenye akili wa aina mbili walikuwa ni HUMANOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la binadamu, na aina ya pili ni REPTOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la mijusi.
Hao ndio Wazazi wa kale ulimwenguni pote . Kuumbwa kwa viumbe hai wenye akili ktk maumbo mawili tofauti ni kufuatia sheria inayotawala ulimwengu ya jozi (principle of pair).

Kanuni hii huleta uwiano au Ukamilifu kwa kuweka vitu viwili kinyume, ni kama ambavyo kuna kushoto na kulia, mashariki na magharibi, kusini na Kaskazini, nyuma na mbele, joto na baridi, nk.

Hizi jamii mbili za viumbe wenye akili walizidi kuenea ulimwenguni baada ya ujuzi wao kuongezeka na kuvumbua sayari mpya zenye kubeba uhai na wengine wao kuhamia katika sayari hizo.

Sayari zingine zilionesha kuwa na tofauti ndogo ndogo za hali ya hewa, kama vile joto kuongezeka au baridi kuwa kali au kupungua kidogo.
Hali hii ilisababisha viumbe hawa wa kale kuvumbua ujuzi wa cloning, ambao ni uwezo wa kubadili baadhi ya mifumo ya utendaji nje au ndani ya kiumbe hai ili kiweze kuwiana vizuri zaidi na mazingira mapya.

Hali hii ya kurekebisha Jamii zao za asili katika mifumo yenye uwiano na mazingira ya sayari mpya na kisha kuuhamishia uhai huo huko inajulikana kama Life seeding, yaani kupanda uhai huo huo ktk sayari mpya.
Matokeo ya ujuzi huu ni kusambaa na kuenea kwa uhai ulimwenguni pote.
Jamii hizo mbili zilisambaa ulimwenguni pote kwa mtindo huo,huku wakisambaa pia na uhai mwingine wote uliokuwamo katika sayari zao za awali.
Kwa hiyo ulimwengu mzima ukajazwa na jamii hizo za aina mbili.
Jamii ya Reptoids wakawa wengi kama vile, Ciakarians, Alpha draconians, Sirians,Sirius, Anunaki, Zeta Reticulians nk.
Jamii za Humanoids nazo zikiwa ni kama, Andromedans, Antarians, Lyrans, Pleiades, Alpha Centaurians, Sagittarius, Vegans, Cassiopians, Cygnus Alphans Arcturians , na Terrans yaani binadamu.

Ni ndani ya mfululizo huu alimozaliwa binadamu.
Uhai hapa duniani uliletwa kutoka katika Constellation ya Lyra.
Hawa viumbe wa Lyran Humanoids ni Wenye bidii sana katika kueneza uhai ulimwenguni miongoni mwa Jamii za Humanoids.

Viumbe hao ndio waliuhamisha uhai wa kimazingira (environment ecosystem) kutoka sayari yao kwa maana ya mimea, wanyama, hewa yenye bacteria nk kupitia vyombo vyao vya anga za juu vilivyojulikana kama Makerubi.
Waliandaa mazingira vizuri na kuotesha uhai wote wa kiikolojia. Kama desturi ya nyakati zote waliwafanyia cloning watoto wawili wadogo mmoja wa kiume na mwingine wa kike kutokana na jamii yao ili waweze kuwiana vya kutosha na mazingira yao mapya ya maisha.

Viumbe hawa waliwaandalia mazingira mazuri ya kuishi ndani ya bustani na kuwaweka humo. Watoto hawa wadogo walihitaji usimamizi mwingi kutoka kwa Wazazi wao na kwa hiyo, viumbe hawa wa Lyrans waliwatembelea hapa na pale ili kuangalia makuzi yao.
Hatimaye waliridhika kwamba ni watu wazima na hivyo wakawakabidhi rasmi utawala wa dunia kama sayari yao.

UGOMVI MKUBWA WAIBUKA KATI YA HUMANOIDS NA REPTOIDS!

Muda mchache kabla ya Lyrans kupanda uhai duniani, ugomvi mkubwa ulikuwa umetokea baina ya Jamii hizi mbili yaani Humanoids wa Lyrans na Reptoids wa Alpha draconians.
Ugomvi huu uliletwa na Reptoids wa Alpha draconians waliotaka kuzimiliki baadhi ya sayari za Humanoids wa Lyrans ziwe makao yao ya kuishi.
Viumbe hawa walikuwa katika galaxy moja japo nyota mbali mbali.
Reptoids hawa wa Alpha walipoiona sayari ya Bila walivutiwa kabisa na mazingira yake nao wakawa wamenuia kabisa kuichukua sayari hiyo.
Humanoids hawa wa Lyrans waliomba kwanza kuwajua vizuri kabla ya kukubali ombi lao kwa kuwauliza swali kwamba tungependa kwanza tuwajue vizuri, je ninyi ni watu wa aina gani?

Swali hili lilipokelewa kama kauli ya kukataliwa na matokeo yake ndani ya muda mfupi walizusha vita kubwa dhidi ya sayari hiyo ya Bila sayari ambayo ilikuwa imewavutia sana Reptoids hawa.
Ndani ya muda mfupi sayari tatu miongoni mwa sayari kumi na nne za Humanoids wa Lyrans zilikuwa zimeharibiwa vibaya sana!
Sayari zilizokuwa zimeharibiwa ni Bila, Teka na Merok.
Humanoids wa Lyrans walikuwa ni wakulima, hawakuwahi kujishughulisha na silaha za maangamizi, walikuwa ni viumbe wapole sana,hawakuwahi kujishughulisha na vita ya aina yoyote, hvyo waliangamizwa sana.

Msaada mkubwa wa katika vita hiyo uliletwa na Humanoids wanaojulikana kama Arcturians. Humanoids hawa wa Arcturus wana upendo sana, wameboresha sana teknolojia yao kwa ajili yao lakini zaidi sana kwa ajili ya jamii zingine.
Kwa hiyo pia hujulikana kama Walinzi wa mbingu. Humanoids hawa wa Arcturians walipoingia katika vita hiyo waliwaangamiza vibaya sana wale Reptoids hao wa Alpha draconians na kuwafanya wakimbie kurudi kwao wakiziachia sayari hizo walizokuwa wamezishikilia.

Ni katika uhasama huo Reptoid mmoja alipojipenyeza hadi bustanini walimokuwa binadamu wa kwanza na kuamua kuwachochea kinyume cha Wazazi wao hao wa kimbingu... Ni kweli kwamba mambo mengi bado Wazazi hawa wa kimbingu wa wanadamu walikuwa hawajawaeleza bado, hii ni busara kabisa kutowaeleza mambo yote nje ya kiwango chao cha kustahimili.
Lakini hili likatumiwa vibaya na draconian huyu kwamba Wazazi wao hao wa kimbingu hawakuwapenda wala kuwatakia mafanikio makubwa.
Muunganiko huu wa binadamu na adui zao uliahirisha zawadi nyingi nzuri walizokuwa wapendelewe na Wazazi wao, mojawapo ni zawadi ya uhai wa milele. Zawadi hii ilitokana na jamii ya miti yenye kuleta uzima usio na kikomo....

Kama nilivyoandika Jamii hii ya Humanoid Lyrans ni Jamii ya wakulima kwa hiyo muda mrefu walishagundua miti yenye kuboresha uhai wa mtu ambaye hajafanyiwa cloning ya uhai.
Kwa hiyo walimuondolea zawadi hii kusudi asije kuutumia uzima wa milele vibaya kinyume na Wazazi wake, na hivyo uhai wa milele wakaamua kuuweka miongoni mwa gharama za Mamlaka ya Nafsi, badala ya kuwa zawadi isiyogharimiwa.

Draconian huyu alipogundua kuwa amegundulika alitoroka na kurudi kwenye himaya yao ya Alpha draconians na kuwaeleza kile kinachoendelezwa hapa duniani na humanoid wa Lyrans na ubora wa sayari hii kama makao ya kuishi, hivyo viumbe hao wa Reptoids wakaja kwa wingi wao pamoja na watumwa wao wa Zeta Reticulians ili kuwaangamiza Lyrans hao waliokuwa duniani na kuwaangamiza pia na binadamu ili kulipiza kisasi na kuichukua sayari hii.

Lakini zoezi lao hilo halikufanikiwa kwa sababu kumbe viumbe wa Arcturians walishaweka kituo chao kisichoonekana cha ulinzi wa anga hizi za chini...,Kituo hiki kisichoonekana kinachojulikana kama Athena, kipo Kati ya anga ya sayari ya Saturn na Jupiter.
Reptoids hao wa draconians bila kujua uwepo wa kituo hicho waliangamizwa kabisa!.. Hivyo mpango wao wa maangamizi haukufanikiwa.
Hata hivyo Reptoids hao waliobakia bila madhara walikimbilia duniani na kuwaambia Arcturians kwamba, endapo watawafuatilia zaidi basi wao watawaeleza binadamu siri nyingi zaidi za ulimwengu, jambo ambalo binadamu alikuwa hajakomaa kuelezwa.
Kwa hiyo Arcturians wakaamua kuwaacha wakae duniani bila kubughudhiwa tena. Arcturians wakawaacha maadamu hawana tena madhara ya kuangamiza Jamii ya binadamu.
Hata hivyo Reptoids hao wala nyama walianza kuleta ghasia duniani kwa kutawala wanadamu kwa ukatili na mateso na kula nyama za wanadamu.
Kipindi hicho katika historia ya wanadamu ndio chanzo cha masimulizi kuhusiana na Manefili pamoja na Mazimwi wala watu. Huo ukawa mwanzo wa binadamu kula nyama na kutoa Sadaka za binadamu.
UJIO WA HUMANOIDS WA PLEIADES HAPA DUNIANI.

Miaka mingi baadaye, wanadamu wakiwa wameongezeka duniani. Yapata miaka elf kumi iliyopita, kulitokea ujio wa viumbe wengineo wa Jamii ya Humanoids kutoka galaxy ya Pleiades.
Viumbe hao ni watoto wa Lyrans kama ilivyo kwa binadamu, kwa hiyo ni kana kwamba walisafiri hadi duniani ili kuona hao ndugu zao wa kibinadamu ni watu wa namna gani.
Humanoids hawa waliishi duniani kwa muda mrefu kabisa na hata wakaamua kuishi kinyumba na mabinti za wanadamu na kuzaa nao watoto, na kwa vile ingawa viumbe hao ni kutoka sayari tofauti lakini ni specie moja tu ile ile ya anga nyingine, ndio maana waliweza kuzaa watoto.
Hadi leo wanasayansi wanakubali kwamba kuna genetics mpya iliingia ghafla miongoni mwa binadamu.
Genetics hiyo inapatikana ukanda wa Kaskazini mwa dunia, kwa wenyeji wa Scandinavia, Sweden Na Norway.
Wanasayansi wanakubali kwamba genetics hiyo iliingia ghafla katika Jamii ya binadamu miaka elfu kumi iliyopita. Wazazi wao kutoka Lyrans wakaamua kuwaangamiza wote watatu kwa gharika ya maji yaani Terrans, Pleiades, na draconians. Kasoro tu kuhifadhi mbegu chache za wanadamu na wanyama.
 
JAMII 2 ZA VIUMBE WENYE AKILI ULIMWENGUNI-Wazazi wa kale wa ulimwengu mzima.
Mungu ni Roho. Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Akaumba mazingira yote yanayohitajika ili kuhifadhi uhai. Akaumba viumbe wote wanaohitajika ili kuleta uwiano wa kimazingira. Baada ya hapo, Mungu aliumba viumbe wenye akili wa aina mbili tofauti. Viumbe hao wenye akili wa aina mbili walikuwa ni HUMANOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la binadamu, na aina ya pili ni REPTOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la mijusi. Hao ndio Wazazi wa kale ulimwenguni pote . Kuumbwa kwa viumbe hai wenye akili ktk maumbo mawili tofauti ni kufuatia sheria inayotawala ulimwengu ya jozi (principle of pair). Kanuni hii huleta uwiano au Ukamilifu kwa kuweka vitu viwili kinyume. Ni kama ambavyo kuna kushoto na kulia, mashariki na magharibi, kusini na Kaskazini, nyuma na mbele, joto na baridi, nk.

Hizi jamii mbili za viumbe wenye akili walizidi kuenea ulimwenguni baada ya ujuzi wao kuongezeka na kuvumbua sayari mpya zenye kubeba uhai na wengine wao kuhamia katika sayari hizo. Sayari zingine zilionesha kuwa na tofauti ndogo ndogo za hali ya hewa, kama vile joto kuongezeka au baridi kuwa kali au kupungua kidogo. Hali hii ilisababisha viumbe hawa wa kale kuvumbua ujuzi wa cloning, ambao ni uwezo wa kubadili baadhi ya mifumo ya utendaji nje au ndani ya kiumbe hai ili kiweze kuwiana vizuri zaidi na mazingira mapya. Hali hii ya kurekebisha Jamii zao za Asili katika mifumo yenye uwiano na mazingira ya sayari mpya na kisha kuuhamishia uhai huo huko inajulikana kama Life seeding, yaani kupanda uhai huo huo ktk sayari mpya. Matokeo ya ujuzi huu ni kusambaa na kuenea kwa uhai ulimwenguni pote. Jamii hizo mbili zilisambaa ulimwenguni pote kwa mtindo huo,huku wakisambaa pia na uhai mwingine wote uliokuwamo katika sayari zao za awali. Kwa hiyo ulimwengu mzima ukajazwa na jamii hizo za aina mbili. Jamii ya Reptoids wakawa wengi kama vile, Ciakarians, Alpha draconians, Sirians,Sirius, Anunaki, Zeta Reticulians nk. Jamii za Humanoids nazo zikiwa ni kama, Andromedans, Antarians, Lyrans, Pleiades, Alpha Centaurians, Sagittarius, Vegans, Cassiopians, Cygnus Alphans Arcturians , na Terrans yaani binadamu . Ni ndani ya mfululizo huu alimozaliwa binadamu.

Satanic version of creation,

Mimi mwanadamu sikutoka huko unapo pasema wewe, mimi nimetokana na baba ADAM alie umbwa directly na Mungu mwenyewe, sasa unaponiletea hizo blah blah zako sikusomi kabisa!

BTW sisi tumuaminio mungu tumeshataadhalishwa na watu kama nyinyi kua mtakuja na singeli zenu nyingi tu kuhusu kutaa Uumbaji wa mungu, pia tuliambiwa kua huwa amridhiki mpaka muoneshwe facts kwa kuona au kugusa...

Najua utakuja na hoja za kwamba dhibitisha kama mungu yupo, sijui nani alimuumba mungu, sijui mwambie mungu abadilishe uelekeo wa jua n.k

Kabla hujauliza ntakwambia kua Mungu hua alekezwi cha kufanya na stupid lizard kama wewe, he does at his will!

Najua mta/utanishangaa kua mbona kama nimeandika nje ya mada na hata kujibu maswali ambayo bado hayajaulizwa!
Trust me, hii mada ndiko inakoelekea...
 
Duh nimesoma nikabaki kuwaza na kuwazua iwapo Le Prof mshana jr angepitia uwanja huu sijui angekuja na maoni gani maana huyu jamaa ni mtata sana mada zake nazisoma sana ila napita kimya kimya unajua uwanja wa ugenini lazima utume mbinu za ulinzi zaidi kuliko kushambulia (defensive merchanisim).
 
Last edited by a moderator:
Vipi hao viumbe wawili bado wanendelea kuexist.?
Niliwahi soma triune model ilikuwa inaelezea evolve ya akili ya binadamu kuanzia miaka million 250 iliyopita .ambapo alitoa stage tatu
1 Reptilian complex nikama unconscious
2 Paleomammalia complex nikama subconscious
3 Neomammalian complex hii ni kama conscious mind ambayo alisema bado inaendelea ku evolve
 

Mbona niliweka yote imekuwaje ipo nusu?
Any way.... Ngoja niiendeleze hapa hapaa

Ni ndani ya mfululizo huu alimozaliwa binadamu....

Uhai hapa duniani uliletwa kutoka katika Constellation ya Lyra. Hawa viumbe wa Lyran Humanoids ni Wenye bidii sana katika kueneza uhai ulimwenguni miongoni mwa Jamii za Humanoids. Viumbe hao ndio waliuhamisha uhai wa kimazingira (environment ecosystem) kutoka sayari yao kwa maana ya mimea, wanyama, hewa yenye bacteria nk kupitia vyombo vyao vya anga za juu vilivyojulikana kama Makerubi. Waliandaa mazingira vizuri na kuotesha uhai wote wa kiikolojia. Kama desturi ya nyakati zote waliwafanyia cloning watoto wawili wadogo mmoja wa kiume na mwingine wa kike kutokana na jamii yao ili waweze kuwiana vya kutosha na mazingira yao mapya ya maisha.

Viumbe hawa waliwaandalia mazingira mazuri ya kuishi ndani ya bustani na kuwaweka humo. Watoto hawa wadogo walihitaji usimamizi mwingi kutoka kwa Wazazi wao na kwa hiyo, viumbe hawa wa Lyrans waliwatembelea hapa na pale ili kuangalia makuzi yao. Hatimaye waliridhika kwamba ni watu wazima na hivyo wakawakabidhi rasmi utawala wa dunia kama sayari yao.

Ugomvi mkuu waibuka baina ya Humanoids na Reptoids.
Muda mchache kabla ya Lyrans kupanda uhai duniani ugomvi mkubwa ulikuwa umetokea baina ya Jamii hizi mbili yaani Humanoids wa Lyrans na Reptoids wa Alpha draconians. Ugomvi huu uliletwa na Reptoids wa Alpha draconians waliotaka kuzimiliki baadhi ya sayari za Humanoids wa Lyrans ziwe makao yao ya kuishi. Viumbe hawa walikuwa katika galaxy moja japo nyota mbali mbali. Reptoids hawa wa Alpha walipoiona sayari ya Bila walivutiwa kabisa na mazingira yake nao wakawa wamenuia kabisa kuichukua sayari hiyo. Humanoids hawa wa Lyrans waliomba kwanza kuwajua vizuri kabla ya kukubali ombi lao kwa kuwauliza swali kwamba tungependa kwanza tuwajue vizuri, je ninyi ni watu wa aina gani?

Swali hili lilipokelewa kama kauli ya kukataliwa na matokeo yake ndani ya muda mfupi walizusha vita kubwa dhidi ya sayari hiyo ya Bila sayari ambayo ilikuwa imewavutia sana Reptoids hawa. Ndani ya muda mfupi sayari tatu miongoni mwa sayari kumi na nne za Humanoids wa Lyrans zilikuwa zimeharibiwa vibaya sana. Sayari zilizokuwa zimeharibiwa ni Bila, Teka na Merok. Humanoids wa Lyrans walikuwa ni wakulima, hawakuwahi kujishughulisha na silaha za maangamizi, walikuwa ni viumbe wapole sana,hawakuwahi kujishughulisha na vita ya aina yoyote. Kwa hiyo waliangamizwa sana.

Msaada mkubwa wa katika vita hiyo uliletwa na Humanoids wanaojulikana kama Arcturians. Humanoids hawa wa Arcturus wana upendo sana, wameboresha sana teknolojia yao kwa ajili yao lakini zaidi sana kwa ajili ya jamii zingine. Kwa hiyo pia hujulikana kama Walinzi wa mbingu. Humanoids hawa wa Arcturians walipoingia katika vita hiyo waliwaangamiza vibaya sana wale Reptoids hao wa Alpha draconians na kuwafanya wakimbie kurudi kwao wakiziachia sayari hizo walizokuwa wamezishikilia. Ni katikati ya uhasama huo Reptoid mmoja alipojipenyeza hadi bustanini walimokuwa binadamu wa kwanza na kuamua kuwachochea kinyume cha Wazazi wao hao wa kimbingu. Ni kweli kwamba mambo mengi bado Wazazi hawa wa kimbingu wa wanadamu walikuwa hawajawaeleza bado, hii ni busara kabisa kutowaeleza mambo yote nje ya kiwango chao cha kustahimili.

Lakini hili likatumiwa vibaya na draconian huyu kwamba Wazazi wao hao wa kimbingu hawakuwapenda wala kuwatakia mafanikio makubwa. Muunganiko huu wa binadamu na adui zao uliahirisha zawadi nyingi nzuri walizokuwa wapendelewe na Wazazi wao, mojawapo ni zawadi ya uhai wa milele. Zawadi hii ilitokana na jamii ya miti yenye kuleta uzima usio na kikomo. Kama nilivyoandika Jamii hii ya Humanoid Lyrans ni Jamii ya wakulima kwa hiyo muda mrefu walishagundua miti yenye kuboresha uhai wa mtu ambaye hajafanyiwa cloning ya uhai. Kwa hiyo walimuondolea zawadi hii kusudi asije kuutumia uzima wa milele vibaya kinyume na Wazazi wake. Na hivyo uhai wa milele wakaamua kuuweka miongoni mwa gharama za Mamlaka ya Nafsi, badala ya kuwa zawadi isiyogharimiwa.

Draconian huyu alipogundua kuwa amegundulika alitoroka na kurudi kwenye himaya yao ya Alpha draconians na kuwaeleza kile kinachoendelezwa hapa duniani na humanoid wa Lyrans na ubora wa sayari hii kama makao ya kuishi. Hivyo viumbe hao wa Reptoids wakaja kwa wingi wao pamoja na watumwa wao wa Zeta Reticulians ili kuwaangamiza Lyrans hao waliokuwa duniani na kuwaangamiza pia na binadamu ili kulipiza kisasi na kuichukua sayari hii. Lakini zoezi lao hilo halikufanikiwa kwa sababu kumbe viumbe wa Arcturians walishaweka kituo chao kisichoonekana cha ulinzi wa anga hizi za chini. Kituo hiki kisichoonekana kinachojulikana kama Athena, kipo Kati ya anga ya sayari ya Saturn na Jupiter.

Reptoids hao wa draconians bila kujua uwepo wa kituo hicho waliangamizwa kabisa. Hivyo mpango wao wa maangamizi haukufanikiwa. Hata hivyo Reptoids hao waliobakia bila madhara walikimbilia duniani na kuwaambia Arcturians kwamba endapo watawafuatilia zaidi basi wao watawaeleza binadamu siri nyingi zaidi za ulimwengu, jambo ambalo binadamu alikuwa hajakomaa kuelezwa. Kwa hiyo Arcturians wakaamua kuwaacha wakae duniani bila kubughudhiwa tena. Arcturians wakawaacha maadamu hawana tena madhara ya kuangamiza Jamii ya binadamu. Hata hivyo Reptoids hao wala nyama walianza kuleta ghasia duniani kwa kutawala wanadamu kwa ukatili na mateso na kula nyama za wanadamu. Kipindi hicho katika historia ya wanadamu ndio chanzo cha masimulizi kuhusiana na Manefili pamoja na Mazimwi wala watu. Huo ukawa mwanzo wa binadamu kula nyama na kutoa Sadaka za binadamu.

Ujio wa Humanoids wa Pleiades hapa duniani
Miaka mingi baadaye, wanadamu wakiwa wameongezeka duniani. Yapata miaka elf kumi iliyopita, kulitokea ujio wa viumbe wengineo wa Jamii ya Humanoids kutoka galaxy ya Pleiades. Viumbe hao ni watoto wa Lyrans kama ilivyo kwa binadamu. Kwa hiyo ni kana kwamba walisafiri hadi duniani ili kuona hao ndugu zao wa kibinadamu ni watu wa namna gani. Humanoids hawa waliishi duniani kwa muda mrefu kabisa na hata wakaamua kuishi kinyumba na mabinti za wanadamu na kuzaa nao watoto.

Kwa vile ingawa viumbe hao ni kutoka sayari tofauti lakini ni specie moja tu ile ile ya anga nyingine, ndio maana waliweza kuzaa watoto. Hadi leo wanasayansi wanakubali kwamba kuna genetics mpya iliingia ghafla miongoni mwa binadamu. Genetics hiyo inapatikana wa ukanda wa Kaskazini mwa dunia. Kwa wenyeji wa Scandinavia, Sweden Na Norway. Wana wanakubali kwamba genetics hiyo iliingia ghafla katika Jamii ya binadamu miaka elfu kumi iliyopita.

Wazazi wao kutoka Lyrans wakaamua kuwaangamiza wote watatu, kwa gharika ya maji yaani Terrans, Pleiades, na draconians. Kasoro tu kuhifadhi mbegu chache za wanadamu na wanyama.
 
Satanic version of creation,

Mimi mwanadamu sikutoka huko unapo pasema wewe, mimi nimetokana na baba ADAM alie umbwa directly na Mungu mwenyewe, sasa unaponiletea hizo blah blah zako sikusomi kabisa!

BTW sisi tumuaminio mungu tumeshataadhalishwa na watu kama nyinyi kua mtakuja na singeli zenu nyingi tu kuhusu kutaa Uumbaji wa mungu, pia tuliambiwa kua huwa amridhiki mpaka muoneshwe facts kwa kuona au kugusa...

Najua utakuja na hoja za kwamba dhibitisha kama mungu yupo, sijui nani alimuumba mungu, sijui mwambie mungu abadilishe uelekeo wa jua n.k

Kabla hujauliza ntakwambia kua Mungu hua alekezwi cha kufanya na stupid lizard kama wewe, he does at his will!

Najua mta/utanishangaa kua mbona kama nimeandika nje ya mada na hata kujibu maswali ambayo bado hayajaulizwa!
Trust me, hii mada ndiko inakoelekea...

Mkuu mbona unakua mkali kiasi hiki?
Taratibu utaelewa tu maana hakuna namna
 
Mkuu mbona unakua mkali kiasi hiki?
Taratibu utaelewa tu maana hakuna namna

hakuna cha kuelewa pale...what is the source of your article? kuna contradiction sana kwa kile ulichoandika. Unapoandika kuhusu hapo mwanzo Mungu aliumba mtu....kisha unaleta evolution? (satanism)....ni sawa na kujaribu kuzifanya kaskazini na kusini zikutane.
 
hakuna cha kuelewa pale...what is the source of your article? kuna contradiction sana kwa kile ulichoandika. Unapoandika kuhusu hapo mwanza Mungu aliumba mtu....kisha unaleta evolution? (satanism)....ni sawa na kujaribu kuzifanya kaskazini na kusini zikutane.

Soma muendelezo wake utaelewa Mr
 
Back
Top Bottom