jamii forum na facebook ipi ina ladha zaidi?

jamii forum na facebook ipi ina ladha zaidi?

Fb ni kwa wale watu wanaojuana na ni nzuri kwa mambo ya biashara lkn jf ni kwa watu wasiojuana na wanaopenda kujifunza.
Nalog off
 
Facebook ni Lawalawa-Pipi-Peremende !
Jamii forums ni Nyamachoma Kuku-Chips !
 
JF wana account FB ila FB hawana account JF!

"Hope umeshapata jibu".
 
Back
Top Bottom