jamii forum na facebook ipi ina ladha zaidi?

Fb nnaingia ili kujua nani kaninbox na notification then nikipost kdogo analog out...ila jf mhhh...nikingia naweza kutumia sio chini ya lisaa moja unusu kwenye PC.na 4n Mda wote ..cozi kuna kila kitu ambacho kipo ktka maisha yakawaida alaf vimetengea kwa majukwaa tofaut na fb n other social ntwrks
 
mkuu hizo n typing errors which are inevitable....! Am in MD bugando, usinchukulie kihvyo... You are always there kukagua weakness za watu, you never contribute anything positively, potea you negative thinker....!

Aisee!!!
 
good clarification, nmeipenda hii...
 
mkuu hizo n typing errors which are inevitable....! Am in MD bugando, usinchukulie kihvyo... You are always there kukagua weakness za watu, you never contribute anything positively, potea you negative thinker....!

If you're an MD with that kind of writting then I fear for our Universities. Ikiwa unakosa umakini katika vitu vidogo kama hivyo unataka tukuamini kuwa utakuwa makini katika mambo makubwa..!?
 
Haaaaa MD wa bugando si mchezo umetisha,je akija Mengi naye akisema ni MD wa IPP au Subashi MD wa M.M.steel si itakua balaa?
 
mkuu hizo n typing errors which are inevitable....! Am in MD bugando, usinchukulie kihvyo... You are always there kukagua weakness za watu, you never contribute anything positively, potea you negative thinker....!

Hahaa chukulia poa...ndiyo jf hii..
 
Nimeondoka Yaeda toka juzi.......nipo Qunu kwa sasa......
Wewe upo fesibuku.........?

Khaa.. mbona sijakuona hapa Qunu..!? mie nilikuwa nimekaa na Forest Whitaker.... Mie huko fesibuku hata akaunti sina.
 
Mmmh Dr........twende kule babu DC anatuita.......hapa kuna hatari ya mtu kupasuliwa moyo badala ya jipu.......

hahaaaa, preta you are too ironic....!
 
Mmmh Dr........twende kule babu DC anatuita.......hapa kuna hatari ya mtu kupasuliwa moyo badala ya jipu.......

Dr kwani babu kaanza tena kuita majina upya...ngoja tuongozane basi.
 
Back
Top Bottom