Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,916
- 172,823
kwanini useme hivyo, is it because of the conversation going on in here....
Nop doctor
kwanini useme hivyo, is it because of the conversation going on in here....
Huyu labda atakuwa dokta kama JK ila sio daktari...
Ila kwa kutumia majina bandia!
haya majina na avatar fake ndo znazosaidia uwazi humu,vngnevyo me included,ngebaki tu fb
JF............FB siendi hakuna la maana
Wala usimung'unye maneno my dear Heaven on Earth sema tu fcbk utotoism unaongoza ligi !
"Xaxa ndy mana me n u 2ko pa1 hapa , 7bu 2liona kule hapa2fai xana"
i had a gre8 day..xul xitaenda 2day xo 2meet baadae........
huwa napata kichefu chefu
Na kichefchef without pregy ni majanga !
Afu wewe Heaven on Earth nna masiku kadhaa nakusamamba majukwaani sikupati .
Kuna pahala nilikuachia "mistari" hukurespond ! Sijui hukurudi tena pande zile , labda!
Nway let's me niendelee kwanza na procedure za kidiplomasia nione observation yake! Nikiona gozigozi hata "majanini" patakuhusu !
mbona mi nipo Judgment
naukumbuka ule mstari........halafu kumbe sikuujibu..nisamehe bure nilipitiwa tu
I wish uni remind nikujibu leo.........hahahaaa mechi za "majanini" huwa kunanoga kweli
Hivi wewe @HOE mbona unanishawishi nikuregard as my role model ?
Unawezaje kua na uelewa wa haraka kwa so many issues ?
Hebu nipe Biography yako kwanza .
Isije ukawa ni Jini !
Hhahaha you made me laugh..............
hivi ile siku niliokupa haitoshi niongezee ongezee
Kweli skatai Heaven on Earth siku ile ulinipa , kwani vile tu fastafasta ndiyo unaridhika kusema "ulinipa yoote ?"
basi nitakupa yoote one time........siku ukiwa na mda tuonane kuleeeeee
basi nitakupa yoote one time........siku ukiwa na mda tuonane kuleeeeee