Jamii forum kuperuzi bila virtual private network hupati habari

Jamii forum kuperuzi bila virtual private network hupati habari

M Hacker

Member
Joined
May 21, 2021
Posts
56
Reaction score
62
Screenshot_20251205-084233.jpg
bila private network inakuwa hivi huwezi kuperuzi
 

Attachments

  • Screenshot_20251205-084458.jpg
    Screenshot_20251205-084458.jpg
    326.5 KB · Views: 10
Haiwezekani mkuu, ni kama wale jamaa kipindi kile walienda airport kwamba Mungu amewaambia wapande Ndege Bure wakaihubiri injili Duniani kote, bila hata kitambulisho chochote.
Hao jamaa walikuliwa kuupanda bure? 😂
 
Huku nilipo leo internet haikuwepo alfajiri nikajua wamefanya yao tena.

Hata VPN ilikuwa haiunganishiki tena bila shaka wanatest mitambo.
Ni kweli kabisa,

Mimi nilijaribu mara kadhaa kuweka airplane mode na kutoa bado ikawa haishiki, nilijaribu mara kadhaa kurestart simu bado pia ikawa inakataa.
 
Back
Top Bottom