Jamii forum kuperuzi bila virtual private network hupati habari

Tony naye mzushi tu Hana lolote
Tony na Hananja nilikuwa nawaheshimu lakini baada ya kuupuliza mtungi wa gesi na kuujaza nilimpuuza.

pia nilipomkuta mchungaji Hananja akinywa chibuku na kulewa tilalila nilimkataa mazima.
 
Hiyo ya Tony kujaza mtungi wa gesi iliishia wapi? Bado anatoa hiyo huduma?
 
Back
Top Bottom