Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Mbona umeingiwa wivu?
hahahahahaha bossman unatoa zawadi kwa ke wote amh
Mbona umeingiwa wivu?
Kweli mdogo wangu yani mume ni mtamu sana ila mkikosana uwiiii unahisi kuzimia zimia tu
Mbona umeingiwa wivu?
Mbona umeingiwa wivu?
Weeee uniiibieeee kama omukagameee weeeee nakuogopaaa balaaaaa,!!!!
Anataka na yeye zawadi ....
Zawadi ikiwa kwa kila mtu inakuwa sadaka sio zawadi...raha ya zawadi for the few
Siwezii kumtajaaa aisee humu kuna macho kumchuziiiii wengii si unawajuaaa shostii
Mambo vipi dokta?? Mzima?? Dokta ile dawa imenitibu siku hizi napiga mpaka wengine wanateguka vizazi,nawapiga 6 mpaka saba na lazima wakande au kutembea upande.Nilimkuna mama flani mpaka akanipa laki 5.Vipi uko dar nikurushia hata elf 10?
Hayaa nishaachaa aiseee nimekomaa
Halafu kwa nini iwe mimi na si mwingine? Mbona mi naona unajimix na wanaume kibao tu humu.
Sijui nina nini tu. Huwa napakaziwa mengi mno.....
Ukiona hivyo ujue una mvuto A+
Amaa!! Huyu jamaa ni Rawlence alikuwa roomate wangu chuo kikuu.Anaejua taarifa zake ani PM tafadhali.
We umetuliaaa au heee najuaaa upoooo hayaa tambaaaa ukanyonywee
Kwa taarifaa simuachiiii na kanisamehee kajinyongeee naona umelazimishwaaa kuja humuu huniumiz kichwaaaa
I don't think I'm bad looking by any measure. I take very good care of myself - I workout on the regular, I got great genes, etc. lakini ambacho sielewi, nitakuwaje na mvuto kwa watu ambao hata hawanijui?
Asilimia 99 ya watu humu hawanijui, hata nikipishana nao njiani hawatanitambua, sasa huo mvuto wameuotoa wapi? Na hata kama nimewahi kumtumia mtu picha, most likely nilimtumia picha ya uongo because I value my privacy that much.
Oh well, it is what it is. I guess it's just one of those things that you can't really put your finger on it.
Thru maandishi ya mtu unaweza ukabuild image yake na ukawa sahihi kwa asilimia kubwa Sana.
Napenda wanaume wanaojijali..
Oohooo.....wasije wakaanza mambo ya NN na TATIANA sasa:smile-big:
Oohooo.....wasije wakaanza mambo ya NN na TATIANA sasa:smile-big:
Lazima wasemee humu ndanii, unawatesa wengi hawasemii kazii kupayukaa tu washaachikaa huko wanatafuta mabwana Jamii na Hivi upo US unawasumbuajeee wakufate Pm wakuelezee shida zaoo sio kunipakaziaa miee aiseee