Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
muke ya musukuma punguza umbea lol usije kosa mwana na maji ya moto
Khaaaaaa haki ya mungu..hivi vitunguu uliwezaje kuvikamua kupata maji yake?
Shemeji yakoooo anataka kunipa ban ya milelee
Chinekeeeee!!
mwanamke wakujihami hivi haki ya nani hajatulia ila anajifanyisha tu.
Shem (whoever you are)
akili kumkichwa yako.
Kasafirii shogaaa hapaa nilipooo joto mwilii wotee
Halaf weeeee hujasoma hapo chinii au ndio kunichokozaaa
Mara msichana now mdada
Mimi jinsia ya ke
Hongera. Unanidai zawadi
Hongera. Unanidai zawadi
Dawa ni kumlainisha akuelewe mwambie tu ukweli na iman mambo yataenda poa. mume anauma jaman ckupatii picha ulivyo mnyonge
Aiseee ushapewaa wake kibaooo utaozeshwaa ndoa ya mkekaa! !
Hivii kwaninii jamanii ina maana mi kutetea diasporaa ndio hivii haya nataka na serikalii tatu sasa na hapo sijui wamseme naniii
mhhhhhh