Jamii forum hii lol!

Jamii forum hii lol!

Pole mamy,mahaba nifiche hayo!!
Sasa leo si ndio utapewa mkono wa kwa heri?
Maana ndio umeshafungua jiuzi
 
Wanataka we ndo uwe festi ledi wa Wabeba maboksi:usa2:

Jamaniii lakin waachee kututafutiaa balaaa maana yule mbembez wa ukweli atakuachaa buree kisaaa udaku wa humuu
 
Pole mamy,mahaba nifiche hayo!!
Sasa leo si ndio utapewa mkono wa kwa heri?
Maana ndio umeshafungua jiuzi

Hapanaa namuomba anisamehee Ennie maana ndio pumzi yangu jana nilipitiwaaa tuu wallah
 
Last edited by a moderator:
Ile thread ya kuponda wabeba box alikuwa anaku support mno kila post nikaona she is loyal to you...

Oh lakini mbona wengi tu walikubaliana nami....hata Kiranga alikubaliana nami....Rev. Kishoka naye alikubaliana nami, hata Ablessed, na wengine wengi tu.

Sasa kati ya woooote hao we ukamwona Dina tu? Things that make you go hmmmmmm......
 
Last edited by a moderator:
Taratibu Dina....ukianza kukana sana wataanza kudhani tunajuana. We uchune tu.

Naogopa tindikaliii masafi ya Mtume machafu ya shetaniii,aisee watanifanyaa nimtajeee lakin siwez mtajaaa
 
Oh lakini mbona wengi tu walikubaliana nami....hata Kiranga alikubaliana nami....Rev. Kishoka naye alikubaliana nami, hata Ablessed, na wengine wengi tu.

Sasa kati ya woooote hao we ukamwona Dina tu? Things that make you go hmmmmmm......
Okay I guess niliona wrong way
 
Last edited by a moderator:
Mambo vipi dokta?? Mzima?? Dokta ile dawa imenitibu siku hizi napiga mpaka wengine wanateguka vizazi,nawapiga 6 mpaka saba na lazima wakande au kutembea upande.Nilimkuna mama flani mpaka akanipa laki 5.Vipi uko dar nikurushia hata elf 10?
Khaaaaaa haki ya mungu..hivi vitunguu uliwezaje kuvikamua kupata maji yake?
 
Mambo vipi dokta?? Mzima?? Dokta ile dawa imenitibu siku hizi napiga mpaka wengine wanateguka vizazi,nawapiga 6 mpaka saba na lazima wakande au kutembea upande.Nilimkuna mama flani mpaka akanipa laki 5.Vipi uko dar nikurushia hata elf 10?

Nilikua nimenunaa umenichekeshaa balaa we kibokooo
 
Mambo vipi dokta?? Mzima?? Dokta ile dawa imenitibu siku hizi napiga mpaka wengine wanateguka vizazi,nawapiga 6 mpaka saba na lazima wakande au kutembea upande.Nilimkuna mama flani mpaka akanipa laki 5.Vipi uko dar nikurushia hata elf 10?
Mbona umevamia uziii
 
Naogopa tindikaliii masafi ya Mtume machafu ya shetaniii,aisee watanifanyaa nimtajeee lakin siwez mtajaaa

Shoga usimtajeee, watu wasije wakamsafiria bureeee!
Shemeji popote ulipo msamehe Dinazarde, umbea wa jana ulikuwa mtamu sana ndo akanogewa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom