Jamii forum hii lol!

Jamii forum hii lol!

pole sana! ila mimi naomba kuuliza kwanini waume zetu hawapendi tuingie JF? ukiwa bize na simu utasikia vipi,uko JF?kunani JF?

Hapa inatokana na aina ya mme au boyfriend uliye naye kwa upande wangu mwandani wangu Dinazarde simzuii kuingia JF tusichanganye habari. Kilichotokea siku mzima nilikuwa busy na kazi naye akaingia JF kwakuwa hakuwa na shughuli nyingi baadaye nikampigia simu Kisha tukaingia whatsapp cha kushangaza akawa anaandika anapotea anaandika swali anapotea nikamuuliza uko busy Sana au simu zinaingia? Akasema hapana basi nikahisi isije kuwa alikuwa naenda JF na kwa lugha nyingine JF kumegeuka pa maana anasahau na familia nilichofanya Ni kuangalia ule muda wa charting na aliokuwa anapotea kuangalia iwapo alienda kupost comment na kumbe nilikuwa sahihi kwa asilimia 100%

Mie siko controlling wala obsessed na yeye kwenda JF by the way ni mie nilimshauri aingie JF afanye comments zake kwa uhuru afurahie nafsi zamani alisoma tu kwa kufanya vile tunaopenda JF tusisahau familia na JF ikachukua nafasi yake tufurahie uhuru wa kutoa maoni pia tujue familia ni ya kwanza mengine yanafuata

Wanawake pia tuelewe jamaa yako akikupa uhuru wa kufanya upendalo bila kwenda kinyume cha maadili tusiabuse kwa maneno yake nimemkamata yule haendi popote mie nafanya nipendalo pia wanaume tusiwanyime wanawake uhuru love ni pamoja na kufeel matakwa ya mwenzio ili mradi hayako kinyume na maadili. Unaweza kumzuia kumbe anafanya kisiri nawe unaona kuwa mpenzi wangu Jamii haendi kabisa sijui ndo sita au la tubalance sehemu zote
 
Wadauzzzzzzzzzz mpoooooooo
Kama kawaidaaa yetuu humu MMU ukaletwaa uzii mtu anataka kufaaa weeee tukaushikiliaaa bangooo hataree thread ikanogaaa mpaka basiiii michambo ikapambaa motoo si utanii ,mie mtoto wa kikee yamenikutaa aisee

! !!!!!my laazizii kipenzi cha moyo wanguuu, we ndo joto langu, blanket langu, utamu wanguu,jamani ni kupitiwaa tu ukatuma sms kwa Whatsapp jamani nikawa najibu huku natoka kuchunguliaa umbeaa wa jamiii wa NATAMANI KUFA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Maana uzi ulinogaa mpambano ulikua mkalii balaaaaa, heeee laaziz si akagunduaaa mweeeee kesiii hiyo ninayo miee naisovu mwenyeweeeee aisee natakaa nianze kupotea poteaa kidogoo maanaa Jamiii tamu,mume mtamu zaidiii haki ya baba hata mama anajuaa hilii kua mume mtamuu nakupenda sanaa unafahamu hilo
Jaman mpenzi wangu,mume wangu kipenziii hakuna kama wewe hapa chini ya juaa naomba nisamehee kwa kosaa langu nimekukoseaa najuaa nimejuaa kosa languu najutaa kukuharibia siku ile ya janaa maana ulikua na hamu ya kuchart na mimi najua utakuja soma hapa nisameheee jamanii Jf hii ni balaaa ngoja nisepe mieee
Hayaaa TATIANA Ichana Sista Evelyn Salt miss neddy enhance masai dada na wengineeooo nioombeenii balaa hilii mwenzenuuu
Kama hujisikii kukoment soma kimya kimya Sepaaaaaa

Ulishasamehewa ila nimekuwa shocked kuona umetundika mpaka Uzi JF unataka kujitoa mpenzi wangu endelea kuendeleza gurudumu la Jamii niko proud na wewe uwe huru nafurahia kukuona mwenye furaha na unaendeleza maoni, majibishano na ligi za jamii ila tusiwe transfixed Sana tukajisahau kama kitendo cha juzi. Sijawahi kukuzuia wala kukukosoa isipokuwa hukwambia angalia baadhi ya lugha usipitiwe Sanaa ukajisahau maana JF ni rahisi kuwa carried away na conversation ukajijuta umekula ban au kutukanana na wanajamii wenzio ila uwe uhuru weka maoni yako without fear kama umeonelea mipasho ruksa kuendeleza ligi ruksa uwe huru kumbuka nilikuecourage uingie Jamii kwa kujisajili nami nafurahi kuona unamshost wenzako mnajibishana mada mbalimbali maana mtu mwenye furaha huwa na afya njema furaha yako ndio yangu endelea kutoa maoni yako kama kawaida. Nimeishakusamehe sikujua mpaka utatoa Uzi wa msahama my dear
 
Last edited by a moderator:
Hebu ntajie jina la shemeji nikeshe nae pm nambembeleza....

Shemeji nishamsamehe hapa usiku nilikuwa macho nimesusia na kitanda ligi ilihamia nyumbani na kwake ilikuwa mgumu kama kwa Manchester United kwa maneno yenu mazuri na yeye kutoa Uzi sikujua kama kafanya vile alishasamehewa. Cha kushangaza alikuwa anasingizia JF nikamwambia JF haina tatizo wenye matatizo ni watumiaji ajaribu kubalance na sintopenda apumzike ndo furaha yake naye aendelee nafurahia kuzisoma comment zake kuona maoni yake na mipasho yake
 
Mambo vipi dokta?? Mzima?? Dokta ile dawa imenitibu siku hizi napiga mpaka wengine wanateguka vizazi,nawapiga 6 mpaka saba na lazima wakande au kutembea upande.Nilimkuna mama flani mpaka akanipa laki 5.Vipi uko dar nikurushia hata elf 10?

we mama yako bora angezaa mkate,akitoka labour angenywea chai..kuliko kuzaa hasara km we
 
Chinekeeeee!!
mwanamke wakujihami hivi haki ya nani hajatulia ila anajifanyisha tu.
Shem (whoever you are)
akili kumkichwa yako.

Naifanyia kazi hii statement uzuri mambo haya wanaume huyajua ila pia kuwa na negative thoughts huwa si jambo jema bali ni kuwa makini zaidi bila kuoverlook mambo
 
Ulishasamehewa ila nimekuwa shocked kuona umetundika mpaka Uzi JF unataka kujitoa mpenzi wangu endelea kuendeleza gurudumu la Jamii niko proud na wewe uwe huru nafurahia kukuona mwenye furaha na unaendeleza maoni, majibishano na ligi za jamii ila tusiwe transfixed Sana tukajisahau kama kitendo cha juzi. Sijawahi kukuzuia wala kukukosoa isipokuwa hukwambia angalia baadhi ya lugha usipitiwe Sanaa ukajisahau maana JF ni rahisi kuwa carried away na conversation ukajijuta umekula ban au kutukanana na wanajamii wenzio ila uwe uhuru weka maoni yako without fear kama umeonelea mipasho ruksa kuendeleza ligi ruksa uwe huru kumbuka nilikuecourage uingie Jamii kwa kujisajili nami nafurahi kuona unamshost wenzako mnajibishana mada mbalimbali maana mtu mwenye furaha huwa na afya njema furaha yako ndio yangu endelea kutoa maoni yako kama kawaida. Nimeishakusamehe sikujua mpaka utatoa Uzi wa msahama my dear

Ahsante kwa kunisamehee mpenzi wanguu maana hadi nilipata jotoo nikaonaa niwashirikieshe mashostito nao waniombee msamaha maanaa hali ilikua mbayaaa ban ya nyumban mbayaa my darling bora upate ya Jamii au sio TATIANA na measkron,nashukuru kwa kua muelewaaaa kiasi hiki ndio maana najivunia kua na wewee
 
Last edited by a moderator:
Hongera shost kwa kupata msamaha.. Shemeji wa ukweeee big up Sana

Ahsantee shogaa leo umeamkiaa hapaa mapemaa,kanisameheee nimefurah naanza kubalance muda wa kuwa Jamii maanaa tutakimbiwaaa
 
Naifanyia kazi hii statement uzuri mambo haya wanaume huyajua ila pia kuwa na negative thoughts huwa si jambo jema bali ni kuwa makini zaidi bila kuoverlook mambo

Shem plz usiruhusu hayo mawazo negative yakupotezee furaha..
Usalama wa Dinazarde is guaranteed here..tunakulindia dhidi ya mabazazi ya aina yoyote
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa kunisamehee mpenzi wanguu maana hadi nilipata jotoo nikaonaa niwashirikieshe mashostito nao waniombee msamaha maanaa hali ilikua mbayaaa ban ya nyumban mbayaa my darling bora upate ya Jamii au sio TATIANA na measkron,nashukuru kwa kua muelewaaaa kiasi hiki ndio maana najivunia kua na wewee

Asikwambie MTU shosti bora upigwe ban na watu Mia but home kuwe na amani...mwambie Shem nanunua mguu wa kuku kwa kukulinda wewe...
 
Last edited by a moderator:
Asikwambie MTU shosti bora upigwe ban na watu Mia but home kuwe na amani...mwambie Shem nanunua mguu wa kuku kwa kukulinda wewe...

Hayaaa ntamuambiaa tutakua tunalipua na wale macho kunchuziiii wale viberengee
 
Alishasamehewa na nimemwambia sioni sababu ya yeye kutokuwa Jamii kuchangia hoja aendelee kama kawaida maana kila mtu na interest zake ili mradi haziendi kinyume na maadili

Shemeji tunashukuru kwa kuwa muelewa.
 
Tunakuombea shemeji alikuwa anatishia tu ila na wewe uache kujisahahau mazima upo na mume jamiiforums unaiacha kando kidogo, mume mtamu

Shost nimeachaa haki ya mimii wallah ngoja nijali mume kwanzaa mumr mtamu sanaa asikuambiee vipi nawe mumeoo watu8 ushamuweka sawaaa eeeee duu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom