Jamii forum hii lol!

Jamii forum hii lol!

Oh lakini mbona wengi tu walikubaliana nami....hata Kiranga alikubaliana nami....Rev. Kishoka naye alikubaliana nami, hata Ablessed, na wengine wengi tu.

Sasa kati ya woooote hao we ukamwona Dina tu? Things that make you go hmmmmmm......

Nimeshangaaa hata miee tulikua watu kibaoooo hii balaaa
 
Last edited by a moderator:
Mambo vipi dokta?? Mzima?? Dokta ile dawa imenitibu siku hizi napiga mpaka wengine wanateguka vizazi,nawapiga 6 mpaka saba na lazima wakande au kutembea upande.Nilimkuna mama flani mpaka akanipa laki 5.Vipi uko dar nikurushia hata elf 10?

Hahahaaaaaaaaaaaah! Jamani nimecheka Wallahi!
 
Shoga usimtajeee, watu wasije wakamsafiria bureeee!
Shemeji popote ulipo msamehe Dinazarde, umbea wa jana ulikuwa mtamu sana ndo akanogewa.

Siwezii kumtajaaa aisee humu kuna macho kumchuziiiii wengii si unawajuaaa shostii
 
Last edited by a moderator:
pole sana! ila mimi naomba kuuliza kwanini waume zetu hawapendi tuingie JF? ukiwa bize na simu utasikia vipi,uko JF?kunani JF?
 
Ndio tatizo la kununuliwa Simu na vocha! Utapangiwa hadi matumizi!

Hapanaa mume wangu ananijalii wala sio kupangiwaa matumiz napenda anavyonikosoaaaa ila anisamehee tuuuu
 
Naunga mkono hoja hii jf ni htr ht mm yalishanikuta nachungulia kdg jf narud wasap mh alisema tu jf ndo kila kitu kwako wengine ni takataka tu pole sana

Na mie kaniambiaa nihamiee Jamiii etii maana ye sio muhimuu Najuta kuifahamu jamiii lusungo jamanii njoo utoe neno hapa shemeji yako anisameheee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom