masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,827
- 16,911
Ngoja nimuibukieeee yaan ni balaa shogaaa
vaa vizuri haswa nguo anazozipenda ndan na nje lakini lol
Ngoja nimuibukieeee yaan ni balaa shogaaa
Yaan janaa nilipitiwaa mieee nami hufanyaa hivyoo
Usinirekodii tuuu mieee
we ,Taratibu! ya Dina hayajaisha unataka kuleta mengine!mimi ni mmama na ni married na ni msomi na nimezaliwa na kukulia mjini!andishile maana yake nimepewa na mungu na ni jina la mwanangu!wanangu wana majina ya kubatizwa na ya kilugha! umama beauty au outdated muulize mume wangu!bye
Heaven usichekee nishaurii mieee mbea mwenzakooooo leo mafurikoo yanataka kunisombaaa
Ahsanteeeeee
Denazarde hali yangu nayo sio nzuri nadhan sired imeshaonwa,sitaki tena hizi mbichi mimi natokomea aitaki tena kusuta hali ni mbaya ha mmh USIKU MWEMA EVELYN SALT,DINAZARDE,KIM NANA TATIANA,MSHANA JR,ICHANA NA WENGINE,uwiiii naeza nisirudi tena