mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Mwambie jamani huku ndo kuna maufundi yale ninayokupatiaga ila nisamehe bure ctarudia kupitiwa
Ile thread ya kuponda wabeba box alikuwa anaku support mno kila post nikaona she is loyal to you...
Ha ha ha Tumia sauti 21 za mahaba tulizojaliwa kumbembeleza
Ha ha ha Tumia sauti 21 za mahaba tulizojaliwa kumbembeleza
Nifundisheeee maneno maana yameniishaa miee lol
Kumbe we ni mdada? Hebu njoo pm tufahamiane
Niombee msamahaa jamanii lol ndio hivyoo tuu
Haaa na wewe ni msichana?
Sio mdada mie ni MMAMA!