Jamii forum hii lol!

Jamii forum hii lol!

nashukuru mungu baby wangu muelewa japo nasubiri kuulizwa naona hajaiona ile sired maana tulitiririka hhahha,ngoja nikuombee msamaha SHEM MSAMEHE DADA

Huuu umbeaaa utatokomolaa nakwambiaaa yaan mpaka nikasaha joto languu miee
 
haha mimi msg yake ikiingia watsup hata kama nishaandika post ndefu vipi na cancel weeeee naenda mara moja chezea MAHABA NIPIGE SHOTI NITETEMEKE
 
Mmama beauty au mmama outdated? Andishile maana yake nini?

we ,Taratibu! ya Dina hayajaisha unataka kuleta mengine!mimi ni mmama na ni married na ni msomi na nimezaliwa na kukulia mjini!andishile maana yake nimepewa na mungu na ni jina la mwanangu!wanangu wana majina ya kubatizwa na ya kilugha! umama beauty au outdated muulize mume wangu!bye
 
haha mimi msg yake ikiingia watsup hata kama nishaandika post ndefu vipi na cancel weeeee naenda mara moja chezea MAHABA NIPIGE SHOTI NITETEMEKE

Yaan janaa nilipitiwaa mieee nami hufanyaa hivyoo
 
we ,Taratibu! ya Dina hayajaisha unataka kuleta mengine!mimi ni mmama na ni married na ni msomi na nimezaliwa na kukulia mjini!andishile maana yake nimepewa na mungu na ni jina la mwanangu!wanangu wana majina ya kubatizwa na ya kilugha! umama beauty au outdated muulize mume wangu!bye

hahhaha niuzie kesi hahahah natania bwana The Boss leo umeamua kufanya uchambuzi wa jinsia za watu umu nipe kazi ya kurekodi
 
we ,Taratibu! ya Dina hayajaisha unataka kuleta mengine!mimi ni mmama na ni married na ni msomi na nimezaliwa na kukulia mjini!andishile maana yake nimepewa na mungu na ni jina la mwanangu!wanangu wana majina ya kubatizwa na ya kilugha! umama beauty au outdated muulize mume wangu!bye

Happy muungano day..utakuwa mmama wa ukweli for sure
 
Back
Top Bottom