pole sana! ila mimi naomba kuuliza kwanini waume zetu hawapendi tuingie JF? ukiwa bize na simu utasikia vipi,uko JF?kunani JF?
Nashangaa nishapewaa mumeee watu bwanaaaa lol kwa umbeaa watasutwaaa mme wangu yupo kimyaa wala hawamjuii
Wadauzzzzzzzzzz mpoooooooo
Kama kawaidaaa yetuu humu MMU ukaletwaa uzii mtu anataka kufaaa weeee tukaushikiliaaa bangooo hataree thread ikanogaaa mpaka basiiii michambo ikapambaa motoo si utanii ,mie mtoto wa kikee yamenikutaa aisee
! !!!!!my laazizii kipenzi cha moyo wanguuu, we ndo joto langu, blanket langu, utamu wanguu,jamani ni kupitiwaa tu ukatuma sms kwa Whatsapp jamani nikawa najibu huku natoka kuchunguliaa umbeaa wa jamiii wa NATAMANI KUFA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Maana uzi ulinogaa mpambano ulikua mkalii balaaaaa, heeee laaziz si akagunduaaa mweeeee kesiii hiyo ninayo miee naisovu mwenyeweeeee aisee natakaa nianze kupotea poteaa kidogoo maanaa Jamiii tamu,mume mtamu zaidiii haki ya baba hata mama anajuaa hilii kua mume mtamuu nakupenda sanaa unafahamu hilo
Jaman mpenzi wangu,mume wangu kipenziii hakuna kama wewe hapa chini ya juaa naomba nisamehee kwa kosaa langu nimekukoseaa najuaa nimejuaa kosa languu najutaa kukuharibia siku ile ya janaa maana ulikua na hamu ya kuchart na mimi najua utakuja soma hapa nisameheee jamanii Jf hii ni balaaa ngoja nisepe mieee
Hayaaa TATIANA Ichana Sista Evelyn Salt miss neddy enhance masai dada na wengineeooo nioombeenii balaa hilii mwenzenuuu
Kama hujisikii kukoment soma kimya kimya Sepaaaaaa
Hebu ntajie jina la shemeji nikeshe nae pm nambembeleza....
Mambo vipi dokta?? Mzima?? Dokta ile dawa imenitibu siku hizi napiga mpaka wengine wanateguka vizazi,nawapiga 6 mpaka saba na lazima wakande au kutembea upande.Nilimkuna mama flani mpaka akanipa laki 5.Vipi uko dar nikurushia hata elf 10?
Pole mamy,mahaba nifiche hayo!!
Sasa leo si ndio utapewa mkono wa kwa heri?
Maana ndio umeshafungua jiuzi
I love you!!!
Nyani Ngabu mkeo uyo kumbe udikteta ulianza kitambo
Chinekeeeee!!
mwanamke wakujihami hivi haki ya nani hajatulia ila anajifanyisha tu.
Shem (whoever you are)
akili kumkichwa yako.
Oooooopsss afadhaliii lo ahsante lovee maana moyo ulikua unadundaa dunda kichinaa nikaona wadauz niwaambiee
Ulishasamehewa ila nimekuwa shocked kuona umetundika mpaka Uzi JF unataka kujitoa mpenzi wangu endelea kuendeleza gurudumu la Jamii niko proud na wewe uwe huru nafurahia kukuona mwenye furaha na unaendeleza maoni, majibishano na ligi za jamii ila tusiwe transfixed Sana tukajisahau kama kitendo cha juzi. Sijawahi kukuzuia wala kukukosoa isipokuwa hukwambia angalia baadhi ya lugha usipitiwe Sanaa ukajisahau maana JF ni rahisi kuwa carried away na conversation ukajijuta umekula ban au kutukanana na wanajamii wenzio ila uwe uhuru weka maoni yako without fear kama umeonelea mipasho ruksa kuendeleza ligi ruksa uwe huru kumbuka nilikuecourage uingie Jamii kwa kujisajili nami nafurahi kuona unamshost wenzako mnajibishana mada mbalimbali maana mtu mwenye furaha huwa na afya njema furaha yako ndio yangu endelea kutoa maoni yako kama kawaida. Nimeishakusamehe sikujua mpaka utatoa Uzi wa msahama my dear
Naifanyia kazi hii statement uzuri mambo haya wanaume huyajua ila pia kuwa na negative thoughts huwa si jambo jema bali ni kuwa makini zaidi bila kuoverlook mambo
Ahsante kwa kunisamehee mpenzi wanguu maana hadi nilipata jotoo nikaonaa niwashirikieshe mashostito nao waniombee msamaha maanaa hali ilikua mbayaaa ban ya nyumban mbayaa my darling bora upate ya Jamii au sio TATIANA na measkron,nashukuru kwa kua muelewaaaa kiasi hiki ndio maana najivunia kua na wewee
Alishasamehewa na nimemwambia sioni sababu ya yeye kutokuwa Jamii kuchangia hoja aendelee kama kawaida maana kila mtu na interest zake ili mradi haziendi kinyume na maadili
Tunakuombea shemeji alikuwa anatishia tu ila na wewe uache kujisahahau mazima upo na mume jamiiforums unaiacha kando kidogo, mume mtamu