Jamii Forum: Experimental Videos | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamii Forum: Experimental Videos

Discussion in 'Jamii Photos' started by Eqlypz, May 29, 2011.

 1. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii video ya kwanza bado naifanyia experiment especially kwenye gaps ambazo zina plain blue screen na lens flares sijajua nini cha kuweka, naombeni ushauri wenu.


  Hii ya pili ni ya zamani kidogo, hizo banners zinazoroll out zilikuwa inspired na opening intro ya Champions League.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kabla ya kutengeneza video, unapaswa uandike idea zako...! Nina maanisha uandike nini unataka kukieleza kwenye tangazo lako.
  Panga maneno, ambayo umedhamiria kuyaweka kwenye tangazo, panga audio (sound) ambazo unataka kuzitumia kwenye tangazo lako, na uku ukizingatia walengwa wa ilo tangazo lako... Mfano: Umewalenga Wakulima, Waganyakazi, Wafanyabiashara, Wanasiasa, Vijana au Wazee.

  Kwa ufupi kila scene inatakiwa iwe na maelezo... Maelezo ambayo ukimpa mtu mwingine yamsaidie kutengeneza tangazo kama lile ambalo wewe umetengeneza.
   
 3. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu ahsante kwa ushauri ila hizi clips zilikuwa ni pure experimental especially hiyo ya kwanza, baada ya kuirender na kuona results nimeona sio mbaya nikitweek hapa na pale ili ilete maana.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya pili nimeipenda sana. Inaweza kutumika kujitangaza kwenye luninga na hapo ndipo itazidi kuwapa homa wale wasanii walioshindwa kulivua gamba lao.
   
 5. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yeah ikifanyiwa changes mbili tatu hapa na pale na kuboresha ubora wa background music na sfx za hizo banners zinavyoroll down itafaa.
   
 6. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,056
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya pili kama utaondoa hiyo background (ARKTEKT MEDIA) na kuweka plane blue itakuwa bomba
   
 7. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  In fact hii project tunaweza kuifanyia kazi watu wote tulio na interest kwenye visual effects.
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Namsubiri 3D, aje hapa aone.
   
 9. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hongera sana, nimeipenda kazi yako, mungu akuzidishie!
   
 10. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  A good start
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ya pili ni nzuri ila tu, unganisha na mawazo ya X-Paster kuwa ukiweka jukwaa la SIASA, weka picha za wanasiasa, ukiweka za kimataifa, weka sura zinazofahamika kimataifa, ukulima, weka wakulima nk nk....... Kwa sasa imekaa kama vile jukwaa la watu wa IT ambao wao hawaoni Picha wala sura wala herufi ila (O 1 0 1).

  Pia ukiweza kutumia FADER na siyo KILL kwenye kubadili picha, huwa ni nzuri sana. KILL inaumiza sana macho kama unaangalia usiku......
   
 12. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #12
  May 30, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Nimefurahi sana kukuta hii kitu hapa, tunatakiwa kuandaa TV commercial ad na naamini kuna wataalam hapa wanaweza kusaidia kuweza kupata the best one tupeleke kwenye TV stations.

  Will be visiting this page frequently kujua progress. Kama kuna mtu anaweza kusaidia kuandaa ad nzuri basi tuwasiliane
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Good kazi mkuu go on...halafu sidhani kama utakubaliwa kwa TV za bongo magamba wanaweza weka hela zaidi ili mradi tu isitangazwe hahahahaha
   
 14. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Chini ni intro ya Champions League ambayo nilijaribu kuiemulate, mwanzoni kwenye hiyo bluish screen kabla camera haijashuka chini ya nyota na hizo rolling banners (0.15).
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  The second is a good one dawg. Sorry, but have been off vids for a long... think it is about time I got back on board...
   
 16. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Namshukuru Mkuu Chamoto kwa kunielekeza katika thread hii, maana sikuwa nimeiona. Nilikuwa naugulia "kichomi" cha Wembley cha Jumamosi iliyopita! Tunajivua gamba. Asante Mkuu Chamoto.

  @Eqlypz' work


  Mimi pia naona katika hizi mbili ya pili ndiyo bomba zaidi. Sababu ("Nalazimisha" kuwajibia pia ambao hawakusema sababu) ni kuwa iko more corporate/serious kuliko ya kwanza japo huenda ya kwanza imechukua muda zaidi kufanya settings (naona particles!!: cc particleworld/trapcode particular) na lens flares (VC Optical flares). Nice try. Clip ya kwanza inafaa cinematic intros/tv programs intros japo si lazima iwe nilivyosema (creativity is the limit). Zikipatikana sounds/background music bora itakuwa safi zaidi. Honestly, it's challenging to create/get ones but if you do........ superb.

  Nice work Eqlypz.

  Haya uliyosema ndiyo msingi mkuu wa kazi za sanaa. Vinginevyo kazi huwa ngumu na huenda isionekane kuwa na mtiririko wa mantiki. Labda kwa kukazia tu, ni vizuri artist angalau kwa haraka-haraka alione tangazo atakalotengeneza mawazoni mwake. A-assume analiona kwenye TV na huku amezungukwa na watu, na watu hao wakisema "Ni zuri." Then hizo ideas aziweke katika maandishi (Script) na vizuri zaidi ideas ziwe katika michoro itayoonesha mtiririko wa kazi yake (Storyboard). Marekebisho mengine yatafuatia kadri anavyofanya kazi na anavyopewa inputs toka kwa wadau.

  Mhanga mwingine wa hoja zako ni Maxence. Amesema atatembelea jukwaa hili mara kwa mara ili kuona progress. Nadhani ni sahihi zaidi hii "progress" angalau ikapewa directions/focus/scope ili "sisi" tusio na simile tusije tukaja na idea ya bonge la mamba lenye "magamba kibao" linatafuna forums zote za "majirani!" Japokuwa msanii anatakiwa atumie "commonsense" labda roughly guidelines zingekuwa hivi:

  1. Tangazo/ad/teaser igusie vision ya JF eg: Ku-promote free/open discussions/ideas/thinking + great think(ers)/(ing)
  2. Forums/Aina za discussions mbalimbali za JF ziwe portrayed
  3. No Political/Religious/Ethnic/Racial/Gender bias/discrimination..... "fulani" asionekane kabisa katika video hii...
  4. Ilete sense/feeling ya .......... (maybe corporate/non-corporate/"philosophical"/ strength/ endurance etc)/cultural/Tzanian background music
  5. Not more than 1 minute/ 30 seconds etc
  6. Should(n't)/may include someone narrating (voice-over) na maneno yawe (maybe), "Welcome to JamiiForums, highly acclaimed open discussion forums in Tanzania where great th......................sports, politics, sci &tech............ visit www.jam......" etc
  7. JF logo should vividly appear at some stage of the clip
  8. Deadline
  That's my thinking, otherwise kazi itakuwa ngumu na ndefu sana. Generally, motion graphic works huchukua muda mrefu kuziandaa/kuzikamilisha. Hivyo prior planning is necessary, truly a must.

  Tunavua linarudi tena.

  Ni kweli picha za watu/vitu ambavyo vitakuwa mfano/ishara huongeza mvuto......0101000100100010110110 (kama hili ni tusi au pongezi sijui)!

  That's good. Hebu cheki maoni yangu nilipomjibu X-PASTER hapo juu.
   
 17. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu nilianza kutengeneza hilo la kwanza baada ya kichapo cha Wembley, kuna mtu nilikuwa najadiliana naye pm tulizungumzia background sound kwenye tangazo la forum kama yalivyo matangazo ya websites background sound ni muhimu kama ilivyo kwenye trailers au tangazo lolote. Mawazo yangu, voice over artist(mwenye authoritative voice kama ya James Earl Jones) anaweza kutumika.

  Ilo la pili I did put some time into it ukilinganisha na la kwanza, ila yote mawili sikufuata script maalumu wala sikuandika idea yoyote chini kwa sababu mara nyingi uwa naona kitu kwenye tv then naamua kuxperiment. Baadae nitapost add nyingine nilijaribu kutengeneza based on a tunnel kutoka kwenye movie ya Tron, nilianza kutengeza hiyo tunnel baada ya kuiona movie.

  Kuhusu sound effects, nina zaidi 20 gb worth of SFX.

  Kuweka videos kuna advantages na disadvantages zake, nilifikiria kuweka clips tofauti tofauti lakini kama unavyotujua sisi binadamu ukimweka mtu wa chama, dini, rangi tofauti na fulani basi wapo watakaotumia mwanya huo kusema ile forum iko chini ya huyu na yule. Na ukisema uwaridhishe wote utaishia kujikuta una tangazo refu kuliko ulivyopanga.

  Hili chini nimetengeza haraka with JF Logo baada ya kusoma comment yako,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #18
  May 31, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Lazima nikatize thread hii kila siku. Safi sana wakuu! Creativity @ work
   
 19. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole kwa habari ya Wembley. Kupata watu wenye sauti ya kama Jamea Earl Jones (Baba wa Eddie Murphy kwenye Coming to America) na akawa anazungumza Kiingereza kizuri ni kazi kidogo huku kwetu. Yawezekana wapo wanaokaribia kiwango chake. Wadau watasaidia.

  Sound Effects (SFX) za 20 gb ni sawa na huna kitu. Namaanisha ni nyingi sana kiasi kwamba kama haujazipanga vizuri huenda usikumbuke ipi iko wapi.

  Hiyo clip yenye logo..... uko sharp. Naona fasta umekuja na idea. Kazi nzuri. Ijazie "nyama" sasa. Cha kujazia....... changamsha bongo kwanza, naona kama kichwa yangu haijakaa vizuri kwa sasa. Congrats and all the best. Nikipata muda nitajaribu kurusharusha miguu nije na clip japo ningependa sana kupata rough idea ya requirements toka kwa mods kuliko kuwa general halafu in the end iwe "sivyo tulivyotaka.".
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Eqlyps

  By the time hii thread imeisha ni imani yangu nitakua nimejifunza meeeengi
  na kupata exposure zaidi.. Thank you Eqlyps.. It is very interesting kupata
  knowledge toka kwa mtu mwenye knowledge na kusaka hio knowledge...
  Will be following closely... Katika hizo clip nimependa the second one kuliko
  the first in fact i thot kua ni experimental in the sense unaandaa the real thing
  till when you addressed the X-PASTER's comment...
  BRAVO! Keep it up...

  3D

  3D whenever there is a thread ambayo najua umepita/utapita uhakikisha
  my mind is free and fresh for you have so much to share and you give it alll ..
  like nimependa saana the outlines you have directed at Maxence.. ina sound
  more logical if done that way, maybe itokee another great idea
  (as much as they are rough guidelines... inafaa ikichukulia kama basics..)
   
Loading...