Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,768
Hii ni chai tu!
Huyu Ruge alikuwa na kesi ya ufilisi na Mechamar mahakamani , akaibuka PAP . Ruge akaongea na PAP wakakubaliana akapeleka hati ya kuondoa hiyo kesi. Jaji utamwa akatoa hukumu , Ruge akamuuzia hisia zake PAP.
Sasa hivi Ruge anatoa wapi ujasiri wa kufungua kesi?
Baada ya Ruge kuuzia hisia zake kwa PAP , maana yake hana chake tena IPTL na kwa hizo hizo hisia zake alizomuuzia PAP anakua mmiliki halali wa iptl.
Hamna kitu hapo , wametuibia hela zetu halafu wanatuletea michezo ya maigizo.
Tunataka pesa zetu mlizoiba escrow.
Mkuu, Ruge alishaitahadharisha serikali mapema kabisa kwamba isitoe pesa za Escrow hadi alipwe mauzo yake ya hisa kutoka kwa PAP. Hii dhahama na kashfa zote za Escrow zimemkuta kwa sababu serikali ilifunga masikio na kuamua kumlipa PAP kabla hajawa mmiliki halali wa IPTL. Baada ya PAP kulipwa hela za Escrow, ndipo akamlipa Ruge.