Nawe mkuu sasa sijui ni mazingira gani Lissu anayataka ili atulie. Ni yeye anayeitisha Press conference, anasema anayotaka, maswali anaulizwa akitaka tena mwishoni, lakini bado ni kupayuka tuuu! Tone ya sauti siyo ya kushawishi, ni ya ugomvi, kwa ujumla hajui kuchagua maneo...lakini waandishi wanasema James Orengo wa kwenye majukwaa ya siasa ni tofauti na yule aliyeonekana mahakamani.
..mazingira ya mjadala, kuanzia na hoja iliyoko mezani, weledi wa wanaoshiriki mjadala husika, pamoja na busara na maadili ya muongoza mjadala, yana athari kubwa ktk jinsi ambavyo washiriki wa mjadala huo wata-behave.
..JAMES ORENGO ukimpeleka kwenye bunge la Tz linaloongozwa na SPIKA asiyetenda haki kama NDUGAI anaweza ku-behave tofauti kabisa na yule uliyemuona mahakamu kuu ya Kenya.
..Hata TL ukimuweka ktk mazingira ambayo HAKI inatendeka nina hakika atajenga hoja zake kwa utulivu.
Mkuu nilimuuliza swali hilo yule mburula aliyekuwa anamkandia Lisu utafikiri anamjua mno Orengo wakati jina lenyewe la Orengo ameliona hapa JF!wapo sawa tu. Tundu lisu ashapangua kesi ya uchaguzi peke yake bila kuwakilishwa na wakili, nimesha appear na Tundu mara nyingi kama opponent wake, yupo vizuri sana na akili yake ni sharp...ujasiri anao sana, na anajua kufanay presentation na kukonvinsi mahakama jambo ambalo ni asset kubwa sana kwenye tasnia ya legal practice.
Watu wengine mna akili mbovu. Sasa unataka lissu aongee kama Orengo kwanini? Kwani lissu ni Orengo? Kila mtu ni unique, amezaliwa na differences zake. Hata wangekuwa mapacha qasinfefanana kwa kilia kitu. Wote ni wazuri kitaaluma kwa namna tofauti. Wewe unachojaribu kuonyesha hapa, kama siyo ignorance bus ni ule uzumbukuku wa maccm kuchukia kila aliye wa upinzani. Badilika acha uzumbukuku.Huyu bwana kajizolea sifa lukuki kwa wakenya na wapenda sheria wote duniani. Imefikia mpaka Watanzania wanamfananisha na Mwanasheria machachari Tundu Lissu..
Sijawahi kumshuhudia Lissu akiwa mahakamani, ila nimemwona Orengo, jamaa is very calm and calculated. Anaongea kwa tone ambayo kila mmoja atashawishika kumsikiliza, sijui Lissu akiwa mahakamani anakuaje, lakini kama anaongea kwa ile tone ya bungeni na kwenye mikutano ya kisiasa naona wazi Lissu atakuwa na weakness fulani.
Ningependa mpitie hili andiko ambalo limempa Orengo sifa lukuki na ni kwanini ameshinda hii kesi akiwagalagaza SC wengine wanne..
Five ways James Orengo has proved to be brilliant lawyer
JE NI HAKI KUMFANANISHA ORENGO NA LISSU? Naomba vijana wa siasa mkae pembeni ningependa kujibiwa na wanasheria na watu wenye uzoefu na mahakama..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biography unayotoa umeipata wapi? Sisi tusiokuwa naye bedroom tutayajuaje hayo au tukuamini vipi wakati siku zote tunamuona akipayuka na mitusi hadi kwenye press conferences!Tundu Antipas Lissu is "Eloquent"...he has legal language anapokuwa mahakamani,na anapokuwa bungeni,he has a "political Language".
Ubaya wa Lissu ni kuwa,maisha yake yote amechagua kuwa upande wa "kupinga" na si "kukubali"...Toka shule ya Msingi,Shule ya upili,chuo,JKT mpaka katika maisha yake ya kila siku,amechagua kuwa "upande wa wachache wasio na sauti"
Upande wa wachache huwa hauna sifa,ni upande wa kufitiniwa na kuhujumiwa...Zaidi ya lugha ya kimahakama,nje ya siasa na sheria,Tundu Lissu ni mtu muungwana sana,ana lugha nzuri na si mtu wa kisasi wala hasira za haraka!!
Kuna wakati ukikaa na Lissu kuongelea maisha na familia,unaweza kujiuliza,hivi huyu ndio Lissu wa Bungeni?
Sasa unaposema lissu anspigana na magu badala ya siasa unamaanisha nini? Kuna siasa bila watu? Nani msimamizi wabhuza siasa? Unapopigsna vita unapinga watu au kitu gani? Siasa ni watu na nilazima lissu apambane nao.Lissu anachokosea ni kutojua wapi pa kupigania. Anawafundisha watu kuopambana na Magu badala na mfumo wa siasa zetu.
Unalinganisha damu na tui hapa.
Che mponda alifanya nini?!!Acha kumwaga sifa kwa wasiostahili. Umezaliwa lini? Nchi hii kuna watu walijitoa muhanga hata kutumia nguvu. Wengine kwa hoja ktk mazingira magumu ya kisiasa kuliko leo hii. Huyu Lissu bila ushabiki, siyo wa maana kiasi hicho! Unaweza kusoma? Tafuta majina haya: Che Mponda, Marando, Mtikila, Farther Tom, Hatty McGhee ...
its seems ur very intellegent chief. salute kwakoTundu Antipas Lissu is "Eloquent"...he has legal language anapokuwa mahakamani,na anapokuwa bungeni,he has a "political Language".
Ubaya wa Lissu ni kuwa,maisha yake yote amechagua kuwa upande wa "kupinga" na si "kukubali"...Toka shule ya Msingi,Shule ya upili,chuo,JKT mpaka katika maisha yake ya kila siku,amechagua kuwa "upande wa wachache wasio na sauti"
Upande wa wachache huwa hauna sifa,ni upande wa kufitiniwa na kuhujumiwa...Zaidi ya lugha ya kimahakama,nje ya siasa na sheria,Tundu Lissu ni mtu muungwana sana,ana lugha nzuri na si mtu wa kisasi wala hasira za haraka!!
Kuna wakati ukikaa na Lissu kuongelea maisha na familia,unaweza kujiuliza,hivi huyu ndio Lissu wa Bungeni?
Nawewe unaweza kuwazungumzia hao Maana yeye kachagua LISU...Acha kumwaga sifa kwa wasiostahili. Umezaliwa lini? Nchi hii kuna watu walijitoa muhanga hata kutumia nguvu. Wengine kwa hoja ktk mazingira magumu ya kisiasa kuliko leo hii. Huyu Lissu bila ushabiki, siyo wa maana kiasi hicho! Unaweza kusoma? Tafuta majina haya: Che Mponda, Marando, Mtikila, Farther Tom, Hatty McGhee ...
Nina uhakika?Lissu hana uwezo wa kufanya kazi nje ya Tanzania na povu lile,si watu watapata ushindi saa mbili asubuhi
Nabii hakubaliki nyumbaniNadhani tofauti iko wazi. Ukisoma maelezo hayo, Orengo aliweza kutofautisha jukwaa la siasa na chumba cha mahakama. Jambo ambalo mwenzetu huyu anayeitwa machachari, hana kabisa! NImeona anavyoshindwa kutofautisha Bunge na mikutano ya mitaani. Nadhani Orengo ni mtu mwenye sifa za pekee. Ni mtu anayeweza kujua uso wa mwenzake unasema nini. Tatizo la Lissu anataka kila mtu amsikilize yeye anasema nini bila kujali msikilizaji ni nani.
Nimesoma michango mingi humu kuhusu hii mada, wachangiaji wa Tanzania wengi wamejaa chuki. Wewe umeeleza mchango bora na kweli maana kulinganisha watu na kazi zao hatupaswi kufanya kwa tukio la mmoja na mwingine sjfa na Tabia. Kwanza kulipaswa kuwe na kesi kadhaa zilizochukuliwa kila upande na tuchambue zilivyoendeshwa, mazingira yake na walioziongoza.. Kimsingi, Kenya wao kila kitu wako na taratibu nzuri za kufanya kuliko Tanzania ambapo mambo mengi utaratibu si wa sawa.Hakusema kuwa wachache wapo sahihi, bali huwatetea wanyonge hata katika mazingira ya kunyanyapaliwa.
Mara zote ameibuka kidedea.
Kwa kesi ya kupinga matokeo aliyoisimamia Orengo, ushahidi ulikuwa wazi mno kiasi hata Nimrod mkono angeshinda kesi hiyo.
Maana ilikuwa rahisi kuthibitisha irregularities kwenye uchaguzi na kuishawishi mahakama kuwa fairness haikuwepo.
TUNDU LISU KITU INGINE. Orengo nae ako poa.
Thanks.Nimesoma michango mingi humu kuhusu hii mada, wachangiaji wa Tanzania wengi wamejaa chuki. Wewe umeeleza mchango bora na kweli maana kulinganisha watu na kazi zao hatupaswi kufanya kwa tukio la mmoja na mwingine sjfa na Tabia. Kwanza kulipaswa kuwe na kesi kadhaa zilizochukuliwa kila upande na tuchambue zilivyoendeshwa, mazingira yake na walioziongoza.. Kimsingi, Kenya wao kila kitu wako na taratibu nzuri za kufanya kuliko Tanzania ambapo mambo mengi utaratibu si wa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are nothing upstairs just calling lissu "mhemko" he is a man of action. The problem you are affected and infected partisan.!!! Pole utabakia mchumia tumbo kwa kuogopa ukweli eti umfurahishe banako. ?!!Acha dharau. Unamfananisha Orengo na huyo Mhemko anayekula matapishi hadharani?