barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,916
Najua humpendi kabisa...Lolote zuri la Lissu huwezi kuwa pamoja naeMkuu Barafu Tundu ni "rheotic" lawyer na ni kweli kabisa hana consistency kwenye hoja zake nakubaliana na wewe uliposema kuwa ni mtu aliyeamua kupinga kila jambo sababu tu ya kupinga pia si lazima wachache huwa sahihi.
Halafu kumbuka umuhimu wa matumizi ya " " katika maneno niliyotumia