Ndiho
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 2,306
- 1,535
Lakini pia kuwalinganisha watu Hawa tunahitaji kuwa na mambo kadhaa ya kuangalia. Kwa mfano: Orengo alisoma zamani na amefanya kazi za kisheria na kisiasa muda mrefu kuliko Tundu Lisu ambaye wakati mwenzake anamaliza chuo kikuu yeye hata kuanza shule pengine ilikuwa bado au ndiyo anaanza la kwanza.Ni wazi huwajui wote, Lissu au James Orengo.
Eti East Africa hujaona kama James Orengo we we unawajua lawyers wote?
Hujui hata aina ya siasa anazofanya Orengo. Wapo senior councils wengine moto hapo hapo Kenya kuliko Orengo.
Watu wengi wanahisi Orengo ni Counsel ambaye amewakilisha tu NASA wasichojua ni kwamba hapo anatetea chama chake kama Senator kama ambavyo Lissu hufanya kwa kesi za Chadema.
Pili Kenya wako na taratibu bora za kazi na kuna kuheshimiana zaidi ya hapa Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app