James Orengo vs Tundu Lissu

James Orengo vs Tundu Lissu

CHUKI YAKO DHIDI YA LISSU HAIELEZEKI ILA UTASHINDWA NA KUAIBIKA!

Hivi katika mawakili wa Tz watatu. Yupo Lissu. Wapiga kelel anaweza kuwepo. Mnapojudge Watu muwe na vigezo sio. Unaanza na kadi ya chadema Afu ndo unaanza kutoa hoja. Embu nambieni hapa Lisu mtetezi wa mnyonge gani. Lowassa au accacia. Naomba nianze na ile hadithi ya Lowassa. Please.
 
Ni kumdharilisha Orengo kumfananisha na Lisu.Lisu hana utulivu na hana uwezo mzuri wa kuzungumza na kujenga hoja km mwanasheria. Ana jaziba na akikutana na wanasheria wazuri atapigana hata ngumi. Anapata sifa kutokana na system corrupt ya uendeshaji mashitaka hapa nchini

Hata hapa Tanzania, bado Lisu hauwezi kumweka level ya akina Nyaucho au Lamwai au Dk Nshala au Ringo Tenga na wengine wengi kwa ustadi wa kuzungumza na kujenga hoja km mwanasheria.Ni mtu wa kupayuka na hayupo organized.

Lisu ni mwanasheria kwa sababu alifaulu mitihani lakini hana traits anazopaswa kuwa nazo mwanasheria.

Sent using Jamii Forums mobile app

..Lissu yuko tofauti na hao uliowataja.

..kwanza yeye hutetea watu wa chini kabisa. Hana tamaa ya fedha.

..pili ana ujasiri na akiamini ktk jambo fulani atalitetea bila kuogopa consequences.

..tatu TL ni kijana mno kulinganisha na hao wazito uliowataja. Lakini amedumu kwa muda mrefu zaidi ktk harakati za demokrasia hapa Tz.
 
Najua humpendi kabisa...Lolote zuri la Lissu huwezi kuwa pamoja nae
Halafu kumbuka umuhimu wa matumizi ya " " katika maneno niliyotumia
Barafu tatizo lako kuu ni unafiki Kama Tundu sasa hivi mnamsifia JK mliekuwa mnamponda eti ninyi ndio 'mnajitambua'
 
Acha dharau mkuu,huwezi kumfananisha Orengo na mpayukaji tundu lissu.
Tundu anashindwa kutengeneza tu hati za viapo kuwanasua wabunge 8 wa cuf mpaka wamefukuzwa kila siku wanarudishwa wakasahihishe hati za kiapo.
James Orengo ametengeneza hati ya kiapo ya kurasa 2400 na hakuna hata siku moja tumesikia ameambiwa akarekebishe
Tundu Lissu ni wakili wa kesi za bange na uchochoezi tu,ndio maana aligalagazwa na Dr Tulia Ackson kwenye kesi ya mita 200.
Lissu anakua overated,hakuna mtu makini anaweza kumpa kesi yake huyozaidi hao matanapa wenzake
Lissu kashinda kesi kubwa nyingi tu, mojawapo ya Rais wa South Africa Jacob Zuma
 
Lissu kushinda kesi kubwa nyingi tu, mojawapo ya Rais wa South Africa Jacob Zuma
Lissu hana uwezo wa kufanya kazi nje ya Tanzania na povu lile,si watu watapata ushindi saa mbili asubuhi
 
Acha dharau mkuu,huwezi kumfananisha Orengo na mpayukaji tundu lissu.
Tundu anashindwa kutengeneza tu hati za viapo kuwanasua wabunge 8 wa cuf mpaka wamefukuzwa kila siku wanarudishwa wakasahihishe hati za kiapo.
James Orengo ametengeneza hati ya kiapo ya kurasa 2400 na hakuna hata siku moja tumesikia ameambiwa akarekebishe
Tundu Lissu ni wakili wa kesi za bange na uchochoezi tu,ndio maana aligalagazwa na Dr Tulia Ackson kwenye kesi ya mita 200.
Lissu anakua overated,hakuna mtu makini anaweza kumpa kesi yake huyozaidi hao matanapa wenzake
Acha uongo, una uhakika hao wabunge 8 Lissu ndio aliandaa hati ya Mashtaka? Nyie ndio kwenye mitihani mlikuwa mnaibia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
binafsi kwakuwa napata majibu ya namna Lissu anavyoipigiza CCM huko mahakamani sina sababu ya kujua sauti yake.
Lissu alivyompigiza Lowassa na baadae kumsujudia ? Akili zake anzijua mwenyewe
 
Lissu amejawa na kisasi na chuki. Hana uzalendo wowote ni mtaka sifa tu na ubishi. Sijui anavyo perform mahakani, lakini katika kutetea maslahi ya watanzania he is a failure. Yeye kama Rais wa TLS ningetegemea kuwa mstari wa mbele kutu tetea sisi wanyonge dhidi ya Grasshoppers. Grasshoppers kwa maana ya kwamba kila kitu wanacho kikuta wao twende tu bila kujali wazawa wataishi vipi. Ni wadudu wabaya sana. Yeye badala yake ana tuacha sisi tuhangaike na Magufuli wetu. Kisa ni nini?
Kisa Magufuli ni Diktekta uchwara.

Yaani yeye yuko tayari kuicha jahazi izame na watanzania wote ndani maadamu kamlipiza kisasi Magufuli? Hapo sina msamaha naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Can you compare brain and porridge? Comparing Lisu and Orengo is an insult to the truly learned friend-Orengo.
 
Ni kumdharilisha Orengo kumfananisha na Lisu.Lisu hana utulivu na hana uwezo mzuri wa kuzungumza na kujenga hoja km mwanasheria. Ana jaziba na akikutana na wanasheria wazuri atapigana hata ngumi. Anapata sifa kutokana na system corrupt ya uendeshaji mashitaka hapa nchini

Hata hapa Tanzania, bado Lisu hauwezi kumweka level ya akina Nyaucho au Lamwai au Dk Nshala au Ringo Tenga na wengine wengi kwa ustadi wa kuzungumza na kujenga hoja km mwanasheria.Ni mtu wa kupayuka na hayupo organized.

Lisu ni mwanasheria kwa sababu alifaulu mitihani lakini hana traits anazopaswa kuwa nazo mwanasheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
At least we have Lissu someone who can say no to oppressive regimes; rather than the multiple puppets in Tz
 
Mbatia huwa anasema "small minds discuss people........" yaani akili ndogo hujadili watu! Haya endeleeni.
 
At least we have Lissu someone who can say no to oppressive regimes; rather than the multiple puppets in Tz
Acha kumwaga sifa kwa wasiostahili. Umezaliwa lini? Nchi hii kuna watu walijitoa muhanga hata kutumia nguvu. Wengine kwa hoja ktk mazingira magumu ya kisiasa kuliko leo hii. Huyu Lissu bila ushabiki, siyo wa maana kiasi hicho! Unaweza kusoma? Tafuta majina haya: Che Mponda, Marando, Mtikila, Farther Tom, Hatty McGhee ...
 
Back
Top Bottom